Search results

  1. Shimba ya Buyenze

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Hii ni dunia nzima mkuu; na sababu zingine ziko nje ya uwezo wetu. Ndivyo tulivyoumbwa. We are providers (of life and everything in between); and in that process we go through a lot!
  2. Shimba ya Buyenze

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Naam! Mwanamke wa shoka. Mwanamke anayejiamini na kujitambua. Mwanamke ambaye hayuko tayari kuteseka na hata kupoteza maisha yake kisa eti anavumilia madhila ya kwenye ndoa na mume furushi. I am a proud dad of one of such women! ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
  3. Shimba ya Buyenze

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Halafu ilikuwaje mkuu? Wewe ulioa huyo mpya uliyempata chuoni. Na yeye huyu aliyepoteza muda wake akikusubiri ilikuwaje? Alikuja kuolewa au maumivu na disappointment uliyomwachia ilimtoa kwenye ramani akaishia kuwa singo maza au spinster? Una furaha ya kweli katika ndoa yako hiyo mpya?
  4. Shimba ya Buyenze

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Safi kabisa mkuu. You are entitled to your opinions. I am also entitled to mine...and that's how is supposed to be in a civilized society. Piga kitabu vizuri sasa. Haya mambo utayakuta tu na muda wa kuchagua mwenza ukifika nitakucheka sana maana kichwa mpaka kitakuuma dadeki. Na mimi naomba...
  5. Shimba ya Buyenze

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    The way you see yourself is the most important factor in your progress.....
  6. Shimba ya Buyenze

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
  7. Shimba ya Buyenze

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  8. Shimba ya Buyenze

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mama E. You are the smartest woman I know; and that's one of the reasons why I will never ever let you go mama! โค๏ธ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
  9. Shimba ya Buyenze

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    I like this ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
  10. Shimba ya Buyenze

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  11. Shimba ya Buyenze

    Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Lissu atagombea CHADEMA na PCM (Paul Christian Makonda) atagombea kupitia ACT Wazalendo. Lissu na Makonda watagawana kura na Simba wa Nyika, shujaa wa vita, Iron Lady; na Kipenzi cha Watanzania hasa Lukasi Mwashambwa atashinda kwa ulainiiii tu! At least that's the strategy. Siasa ni sayansi!
  12. Shimba ya Buyenze

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Lugha zote ziko hivyo na usishangae kukuta lugha rasmi (formal language) imebakia kuwa kwenye makabrasha tu haitumiwi na wazungumzaji wa kawaida wa lugha. Hawa BAKITA mamisamiati yao mengi huwa wanabaki nayo huko kwao maana kwa kawaida huwa hayafiki huku mitaani. Mi huwa naona ni kama vile tu...
  13. Shimba ya Buyenze

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    The guy just got deleted by a professional....
  14. Shimba ya Buyenze

    Rais Samia Suluhu Hassan, ni Mnyenyekevu kwa Watu Wote, Tuwaombee na Wasaidizi wake kuanzia ngazi ya Mkoa wawe hivyo

    Unyenyekevu (uliozidi) ni dalili ya kutokujiamini (inferiority complex) na mara nyingi huwaandama watu waliopitia trauma utotoni. Hili wala siyo jambo la kujivunia hasa kwa mkuu wa nchi na amirijeshi mkuu ambaye wakati mwingine atalazimika kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi yake...
  15. Shimba ya Buyenze

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Mitumbwi nayo leo nauli ziko juu hatari dah!
  16. Shimba ya Buyenze

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Our own mwasibu jameni! ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ (Cc. kelphin) On a serious note: Sidhani kama vitoto vyote vya 2000s viko hivyo. Naamini na vinavyojitambua na kuyaelewa maisha tena pure wife material vipo. Hivyo usitumie ujinga wa hicho chako kisichojitambua kuvihukumu vitoto vyote vya 2000s. Endelea kutafuta...
  17. Shimba ya Buyenze

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Hivi mlifikishana wapi na mpwa wangu? Au watu walishakula pilau na mimi sikupata kadi ya mnuso? Mpwa hebu njoo umalize hii sintofahamu aisee!
  18. Shimba ya Buyenze

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Unataka nikutaje? ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
  19. Shimba ya Buyenze

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Hii ni aibu kwa Simba. Japo limetengenezwa kwa ajili yake, sasa itokee tena Azam wamkande atoke kapa dah! Kuhusu drama za CCM wanasema anayewindwa hasa ni Luhaga Mpina. Na watu wa conspiracies wanasema kwamba CCM wana wasiwasi maana hawajui uchaguzi utakuwaje katika mazingira ya tume hii...
Back
Top Bottom