Search results

  1. usipa

    Naipenda simu yangu ya windows

    Hata mimi nilihisi ni kwangu tu, basi kama kwako pia inawezekana JF imeeondolewa mtalk. Ngojea tusubili majibu ya chief mkwawa
  2. usipa

    Naipenda simu yangu ya windows

    Samahani chief mkwawa mtalk ina nisumbua nina wiki mbili sijatumia jamii forum kwa kupitia simu. Naweza pata apps nyingine zaidi ya mtalk kwenye window phone
  3. usipa

    MOSSAD: "A" "BE" na "CHE" ya mashetani wenye ithibati ya mauaji

    #FREEMAXENCEMELO Sent from mTalkl
  4. usipa

    Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Kyela ikombe mwendo wa kula samaki tu
  5. usipa

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aonja Moto wa UKAWA

    Magamba kawaida yao wanakujaga na mbwembwe hivi hivi lakini wakikutana na wenye jiji wanakuwa wapole, hata kandoro mwanzoni alijifanya mjuaji ila mwenye alionja joto la jiwe akawa mpole hadi walipomtema
  6. usipa

    Wengi hawayajui haya

    Kweli ufipa yanaitwa matunda damu, nakumbuka enzi hizo unalipasua katika ya tunda unaweka sukari ili kupunguza uchachu wa hilo tunda ndio linaliwa
  7. usipa

    Nimepatwa na Majonzi, maombi ya Uchaguzi Zanzibar

    Hongera zako kwa mahaba ya dhati kwa sisiemu, Mungu hamtupi mja wake
  8. usipa

    Human microchips analysis

    Mkuu ulichokiandika pamoja na hoja za mshana hii makitu ndani ya miaka kadhaa tutaanza kuitumia hasa watakapo ibua ishu ya kudhibiti ugaidi, maana tunavyopenda kwenda nchi za magharibi na kutumia kila kitu chao hasa kwenye ishu ya tekinolojia kweli wametushika pabaya
  9. usipa

    Mourning til' we meet again Nate Dogg...we miss your Golden Voice Kaka

    Mkuu napenda jinsi nate dog alivyo tembea kwenye kiitikio cha gangster nation, rip nate dog
  10. usipa

    Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

    Taratibu jamani ambao hatujafika dar kawaida yetu kujionyesha tunakufahamu huko dar hatakama tunatokea mbeya, alafu hii ishu sio wanachuo tu hadi kwa baadhi ya watu wazima na nchi za jirani zetu mfano mzuri kama wiki mbili zilizopita nilienda hapa kwa wabwezi(malawi) nilikutana na majanki...
  11. usipa

    LEONARDO DA VINCI: Miongoni mwa wanadamu wachache unaopaswa kuwafahamu

    Gwala kwako MSEZA MKULU kwa hii post
  12. usipa

    Azam Tv acheni makwazo!

    Mkuu samahani nomba unielekeze njinsi ya kuscani Ili nipate hizo chaneli
  13. usipa

    Utafiti: Hawa ndo wanaume wenye moyo wa kutoa

    Hizi mambo shida kweli kweli, hii post imenikumbasha tafiti za uchaguzi ulio pita ilikuwa ni hatari tupu
  14. usipa

    Naipenda simu yangu ya windows

    Asante sana chief mkwawa nimeona metweets ndio itanifaa
  15. usipa

    Naipenda simu yangu ya windows

    Samahani chief mkwawa apps gani nzuri ya twitter kwenye window phone
  16. usipa

    Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

    Please mshana jr naomba na mimi unitagi katika hiyo mada
  17. usipa

    Zitto ni wa sayari nyingine kabisa

    Nimapema mno kumuamini zito, kwangu mimi najipa muda Kwanza.
  18. usipa

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    Huu nimwanzo tu tutajua mengi sana yanayohusu uchuguzi uliopita kuhusu mwanakijiji na wengine wengi amboa ni vigeugeu hasa inapotokea ishu ya fisiemu na maslai wanayoyajua wao
  19. usipa

    Nastaafu kuuza wake za watu Pt2 (Ijue hii biashara nje ndani)

    Laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaara moko
  20. usipa

    Sifanyi ngono tena 2016 kumridhisha mtu, nikiridhika mwenyewe imetosha

    Kweli kua uyaone lakini sio magolofa
Back
Top Bottom