Search results

  1. A

    Mwenye huu wimbo wa bambino sound

    Kama ilivyojieleza hapo juu, naomba mwenye wimbo wa uliotungwa na banzastone mwana masanja akiwa na bambino sound band, wimbo unaitwa mimi niseme na wewe useme nani atamsikiliza mwenzie. Kama kuna mwenye website ambapo nitaupata huo wimbo msaada please
  2. A

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Umenikumbusha mbali aisee kipindi kile kwetu ilikuwa mwendo wa RTD masafa ya AM . Ukihamia SW unakutana na KBC-nairobi. KBC nilikuwa napenda kipindi fulani kilikuwa kinaitwa Eveready paka power show, ndani yake kulikuwa na segment ya "unga na majina ya kikwetu" mtangazaji alikuwa Fred. O...
  3. A

    Marekani yamuweka Magufuli njiapanda

    Kwa maoni yangu, naomba deadline waliyoitoa(wanayofikiria kuiweka) ifike kabla hatua ya utatuzi wa mgogoro wa Zanzibar wanayotaka wao iwe haijafikiwa halafu tuone nini kitafuata. Nasema hivyo nikiwa naamini kwamba hakuna cha MCC wala msaada wowote kutoka IMF,World Bank marekani na washirika wao...
  4. A

    Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

    atawezaje kujenga hoja ilhali akili zake kashikiwa?
  5. A

    RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    Ningependekeza kwenye "ccm ni ile ile" ungeweka "Tanzania ni ile ile" kwa maana hata yangekuwa ukawa ndo wako madarakani bado wangetumia watendaji wale wale
  6. A

    Dr. Shein ni rais wa awamu ya ngapi Zanzibar?

    Maalim ni makamu wa kwanza wa awamu ya ngapi? Maana sijasikia akiikana hiyo nafasi(labda awe alitangaza kujiuzuru na sikubahatika kumsikia)
  7. A

    Benki ya Dunia (WB) yampongeza Rais Magufuli kuongeza mapato na kupunguza matumizi ya serikali

    Naomba niulize swali, wale ambao huwa wanasema JPM hafahamu kiingereza je huyu alikuwa anazungumza nae kiswahili ama kulikuwa na mkalimani ambae hajatokea kwenye hiyo picha?
  8. A

    Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO): Ufafanuzi wa taarifa kuwa hatununui nguzo nchini bali...

    Ama kweli tanesco ni kero kwa watanzania hii ni kwa mujibu wa comments juu ya hii thread. Hili nalo ni "jipu" hebu "mtumbua majipu" akitoka TPA &TRA apitie huku kwanza kabla ya kwenda TRL na kwingineko
  9. A

    Watu bwana!

    Hivi mshana hizi picha huwa unazitoa wapi,dah we nooma huwa unapost picha ambazo huwa zinaacha maswali mengi sana juu ya upatikanaji wake
  10. A

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    mbona umekuja na jazba sana mkuu,au ndo unathibitishwa uhalali wa ule msemo wa kurusha jiwe gizani...?
  11. A

    Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    nenda sasa ukanywe sumu
  12. A

    Mheshimiwa Spika na Rais wa Jamhuri ya Muungano mlichokifanya sio sahihi

    Hongera kwa kutambua kwamba meza za mazungumzo pekee ndizo zitakazoleta suluhu Zanzibar. Lakini umeshindwa kukemea/kutoonesha masikitiko yako juu ya kile walichofanya ukawa jana kwani walishindwa kuthamini mazungumzo yanayoendelea Zanzibar
  13. A

    Nyumba za wakazi wa Kurasini Shimo la Udongo, Dar zabomolewa

    Naomba niulize, hivi hii habari ya kuvunja kurasini si imeshasemwa muda mrefu sana? Au watu wa kurasini walikuwa hawajalipwa fidia ndo maana walikuwa hawajapisha upanuzi wa bandari?
  14. A

    Uposhangilia Ushindi wa Magufuli, Usiache Kuwashukuru UKAWA kwa kuamua kudumisha Amani

    Naunga mkono hoja ila ninasikitika kuona watu wengi humu jf,pamoja na wewe mnapofanya makosa ya kiuandishi. Makosa haya japo ni madogo lakini yanaondoa radha ya maudhui yaliyomo kwenye kile ulichoandika. Hivi kweli unaandika KUHAMUA ukimaanisha KUAMUA?
  15. A

    Magufuli anaiga kwenye ilani ya CHADEMA

    Sioni ubaya juu ya hilo,kama lina faida na manufaa kwa Taifa acha alifanye. Kwa maana manufaa yake yatawahusu watanzania wote bila kujali itikadi zao.
  16. A

    Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

    ushahidi please, bila shaka utatufaidisha wengi
  17. A

    Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    makamba alitangaza kuwa magufuli kashinda?
  18. A

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hebu kuwa mkweli mtanzania mwenzangu, wasukuma wana-elements za ukabila kama unavyojaribu kuuaminisha umma?
Back
Top Bottom