Search results

  1. Ulukolokwitanga

    Chalinze: Mabosi watatu wa Tanzania Investment Centre, wafariki ajalini

    Kuna habari kuwa mtumishi mwingine wa Serikali amefariki dunia katika ajali usiku wa kuamkia leo wakati gari lao limepata ajali wakitokea Tabora kwenye Dodoma kwenye mkutano. Ajali imetokea eneo la Bahi. RIP Nadhani ifike wakati sasa serikali iweke sera zitakazozuia magari ya serikali kusafiri...
  2. Ulukolokwitanga

    Dereva wa Lissu asema hana kumbukumbu vizuri kwa kilichotokea kwenye shambulio dhidi ya Lissu

    Naona Malumumba yanajitekenya na kucheka yenyewe. Subirini muda muafaka dereva Ni mwiba mkali Sana kwa mabashite WA Lumumba
  3. Ulukolokwitanga

    Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    IQ buraza, vitu vikubwa vunahitaji IQ kubwa. Miaka mitano ya uchumi kupiga magoti, kila mtu hana hela, kila mahala hakuna hela
  4. Ulukolokwitanga

    Nikumbusheni jama, hivi wachaga wamewahi kupambana vita yoyote na wakoloni?

    Ilikuwa zamani jombaa, kwa utawala huu wa sasa watu walioathirika zaidi ni wachagga. Anawatoa kwenye nafasi za uongozi kwa hila, maduka mengi yamefungwa kwa hiyo wao walitakiwa kuwa wa kwanza kujua hii serikali haina maslahi kwao na kupambana. Ila ndio hivyo wamejisalimisha wakidhani wako...
  5. Ulukolokwitanga

    BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

    Ukifanya hivyo itakuwa rahisi sana kwao, Fahmi Dovutwa, John Momose Cheyo, Augustine Mrema na Ibrahimu Lipumba watagombea. Watawala watalazimisha uchaguzi, watashinda kwa asilimia za Kagame, jeshi litaingia mitaani na stori itakuwa imeisha. Ndicho wanachokitaka
  6. Ulukolokwitanga

    Dr Magufuli escapes key international events

    Fenti fodi itawachekesha wazungu
  7. Ulukolokwitanga

    Mhe. Waziri Ummy Mwalimu, aibu hii utaikimbiaje?

    Ungejua kama CCM wanafurahia watanzania wanavyokufa na watanzania wanavyoteseka usingeleta huu uzi. Kifupi ni kwamba CCM saizi wako roho kwatu kuwa huenda watu watakata tamaa kuchangia damu na vifo viongezeke toka moja hadi mbili kwa siku wakati wa kujifungua
  8. Ulukolokwitanga

    Kwanini taratibu za Huduma za matibabu ya Tundu Lissu zimetawaliwa na matamko ya kisiasa zaidi kuliko taaluma!

    Kwa sababu Tundu Lissu aliumizwa katika jaribio la mauaji ya kisiasa toka kwa wanasiasa wenzake wa wakisaidiwa na Serikali ya CCM. Saizi ni kutumia mbinu za swahiba yetu Kagame
  9. Ulukolokwitanga

    Waziri wa Fedha Punguza Jazba

    Mmegoma kulipa madeni ya ndani kwa vile mkiwalipa watanzania wenzenu wataishi kama malaika kwa jasho lao. Mnagoma kuongeza mishahara ambayo ingeongeza purchasing power. Mtapigika sana awamu hii na waziri jipange kumwagwa
  10. Ulukolokwitanga

    Kutoongezeka kwa mapato bandarini Dar: Serikali yawahamisha watumishi wa TRA waliokaa muda mrefu

    Hapa naona inatafutwa hela ya kukombolea Bombadia tu. Mnaua uchumi na biashara zimezolota mapato mtatoa wapi. Mnala wa Babeli unakaribia kushuka
  11. Ulukolokwitanga

    Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

    Nadhani kiingereza ni lugha iliyokuja na meli wengi kama wewe na mimi hatuelewi vizuri. Kwa maelezo hapo ni kuwa 65% ilikuwa inatokana na matofali ya dhahabu na 35% inatoka kwenye makinikia. Kutokana na makinikia kupigwa marufuku wameamua kubadilisha technology na mfumo wa uchenjuaji ambapo...
  12. Ulukolokwitanga

    Lazaro Nyalandu: Kwa sasa, mipango ya kumsafirisha Lissu kwenda nje itasimama kutokana na ushauri wa Madaktari

    Kweli dunia ina mambo. Umetoka huko uko kwenye siku zako haujavaa hata nanii zile huko chini unakurupuka Lissu atibiwe kwa ruzuku. Unafikiri kwa vile kaka yako Dotto yuko hazina unatumia tu hela unavyojiskia? Mi nilipoambiwa wasukuma mna laana nilikuwa nabisha lakini chini ya utawala wa huyu...
  13. Ulukolokwitanga

    Makamu wa Rais akutana na Mkurugenzi Mtendji wa Benki ya NMB

    Vipi mishahra ya mwezi huu inagoma nini? Maana nimesikia sehemu kuwa mapato yanadwindling huko TRA hali tete. Tutasema poo siku si nyingi
  14. Ulukolokwitanga

    Hivi vita ya kiuchumi ni Ku eliminate,Kauli za vitisho,kuingilia Uhuru wa bunge , mahakama na freedom of speech?

    Binafsi naona kama mzee anataka kunogesha vita ya kiuchumi aache magazeti yawe huru ili yamsaidie kufichua maovu na pia kuhabarisha watanzania bila woga. Kwa jinsi hii watu walivyo waoga kwa sasa hakuna ubunifu wowote, kila mtu anaishi kwa kulinda mkate tu. Hakuna zaidi ya hapo
  15. Ulukolokwitanga

    Bloomberg: Tanzanian Leader's War for Taxes Puts Economy in Firing Line

    Nchi ya watu milioni 40 inapigana na kampuni moja halafu mnasema tunaenda uchumi wa Kati duh
  16. Ulukolokwitanga

    Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

    Hao lazima walikuwa ni wapigadili, awamu hii ya tano wapigadili hawana nafasi. Mapato yanazidi kuongezeka miezi miwili tumelipa trilioni nne
  17. Ulukolokwitanga

    Shehena ya mizigo inayosafirishwa katika viwanja vya ndege nchini yashuka

    Hii habari haina ukweli, nchi hii ina viwanda 56,000 na hata kukiwa na cherehani nne kwa mpigo hicho ni kiwanda (in Mwijage's voice)
  18. Ulukolokwitanga

    Bloomberg: Tanzanian Leader's War for Taxes Puts Economy in Firing Line

    Hii vita ya kiuchumi tunapigana na nani hasa?
  19. Ulukolokwitanga

    Peter Msigwa: Nimepata taarifa kuwa polisi wamenitafuta toka asubuhi maeneo ya Sinza

    Inategemeana na intelijensia yao ilivyowatuma. Au ndio kwenye kukamata waombaji inabidi kukamata na mchungaji. Kilichomponza Msigwa kutafutwa kwa hiyo ni uchungaji wake sio uchadema wake. Wakatoliki na nyinyi kaeni mkao wa kula, iko siku mtaambiwa ibada ni mkusanyiko usio halali. Mambo huanza...
  20. Ulukolokwitanga

    Zitto na Watanzania wanaosoma Kenya, wajitolea damu kwa Tundu Lissu

    Ulijua Zito ana visasi kama huyu mzee wetu.... Hapa tunaongelea suala la uhai wa mtu sio kiki za kisiasa. Leo yametokea kwa Lissu unajuaje kama kesho hayatamtokea Zitto na keshokutwa wewe. Udikteta ukiingia hakuna mtu yuko salama
Back
Top Bottom