Search results

  1. S

    Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

    Huyu ni mwamba ni balaa. Nili apply kazi pale hadi nikachoka.
  2. S

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    1. tburudani - unaangalia movie kibao kupitia TTCL 2. fastbima - unanunua bima ya gari kidigitali
  3. S

    Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

    Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje? Hakukuwa na coordination kati yao? ========== Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos. A video posted by the Daily...
  4. S

    Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Bei zake zikoje ? Nipe contact za wahusika niwacheki
  5. S

    Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    mrangi Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
  6. S

    Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
  7. S

    Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Nipo Tegeta hapa
  8. S

    Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Asante mkuu. Bunju A sehemu gani? Nikiwa pale barabarani tuu nitayaona hayo malori?
  9. S

    Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba. Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali. Nipo jijini Dar es Salaam.
  10. S

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mashine karibia zote zipo alibaba.com, cheki hapo ukikosa niambie nikusaidie kucheki sehemu nyingine.
  11. S

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Karibu sana, ingawa sipo active sana JF, nitajitahidi kuchangia kadri navyoweza
  12. S

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    S Safi sana. Ili tuendelee kama Taifa lazima tupeane info za msingi kwa haraka sana. Kila la heri
  13. S

    Currently in TZ , what is the average price for a professionally done website?

    Bei za Tanzania haziko standard kiivo 1. Static website - 350k ~ 750k 2. Dynamic website - 1M ~ 2M
  14. S

    Uber-Like Places Autocomplete

    Wadau nimejaribu kutumia Uber-app naona "Places Autocomplete Feature" yake ina uwezo wa kutoa suggestions za maeneo mengi na kwa usahihi wa juu zaidi ukilinganisha na ile inayotolewa na "Google Services Places Autocomplete". Uber wanatumia mbinu gani kuboresha mfumo wao hasa "places suggestions"?
  15. S

    Anayefahamu hospitali nzuri ya macho kwa hapa Dar na gharama zake

    Unatakiwa utafute Daktari mzuri, na siyo hospitali nzuri. Nenda Hindu Mandal, POSTA, kuna daktari anaitwa Susan, yupo siku J4 & J5 kuanzia saa kumi (10) jioni. She is the best.
  16. S

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Inatosha sana hiyo hela. Kila la heri
  17. S

    Bulk SMS service in Tanzania

    Mwanzoni ilikuwa vizuri kuliko sasa. Pia tume notice kwamba SMS tunazotuma kwa wapokeaji ambao wanatumia Mobile Operator X (siweki jina la Operator hadharani) zinafika haraka zaidi, kuliko Operators wengine.
  18. S

    Bulk SMS service in Tanzania

    Sijataka kupoteza muda kufanya kitu ambacho kipo tayari. Wao wana service & API tayari kwaajili ya sisi kutumia. Changamoto ni delay kuwa kuuubwa
  19. S

    Android SMS Retriever Issue

    Wadau wa Android, nataka app yetu iwe na uwezo wa kupokea SMS (One Time Password) inayotumwa kutoka kwenye server-side kuja kwenye android mobile app. Nimejaribu kufuata na ku-implement kama ilivyooelekezwa HAPA, lakini hakuna SMS yeyote inayopokelewa na kuchakatwa na mobile app. Server-side...
  20. S

    Bulk SMS service in Tanzania

    1. Nimewasiliana naye mara kwa mara hana jibu sahihi 2.Hakuna SLA yeyote 3.Hajatoa low level details kama hizo. Techinally, katupa API spec doc then sisi tuna call API kutuma SMS basi.
Back
Top Bottom