Search results

  1. kivulicheupe

    Swali

    Haifai kabisa, nadhani hata wapagani hawaruhusu.
  2. kivulicheupe

    Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    👏👏👏👍👍😛😛
  3. kivulicheupe

    Yanga yaingia matatani na Jeshi la Tanzania, kauli zao kuwaponza

    Simba wanaongoza ligi ya maneno, kila jambo wanalichukulia kiushabiki bila ya kujali athari ambayo inaweza kuikuta hata timu yao.
  4. kivulicheupe

    Wife materials ni shida

    Mkuu kama mke anatabia ya umalaya mume anatakiwa abadilikaje?
  5. kivulicheupe

    Wife materials ni shida

    Ukipanda mbegu ya mahindi utavuna mahindi. Watoto hujufunza na kufuata tabia za wazazi.
  6. kivulicheupe

    Kama JKT Ruvu wanawafanya Yanga hivi hakuna hatua, basi tujiandae na mengi

    Yule refa hastahili kuchezesha ligi kuu, anafaa kuchezesha mechi za mchangani.
  7. kivulicheupe

    Huwa yanachuja?

    Mapenzi ni kama nyumba ambapo hua mpya na baada ya muda huanza kupauka rangi, nyufa kutokea na kadhalika hivyo ni jukumu lenu kuikarabati ili iendelee kua na thamani ile ile na hata kuzidi thamani ya mwanzo. Kumbuka usipoziba ufa... Uhai wa mapenzi unategemea sana mambo matatu ambayo huenda...
  8. kivulicheupe

    Nampenda mamdenyi na miss chaga

    Duh watakua wanakuitaje?
  9. kivulicheupe

    Nimeaibishwa mbele ya mpenzi wangu inauma sana

    Kama ulishamueleza mapema huo si uungwana, ila kumbuka na yeye ana mahitaji ni hiyo nyumba ni moja ya chanzo cha mapato yake.
  10. kivulicheupe

    Nitabaki peke yangu hadi akili itulie

    Pole sana, nadhani huo ni uamuzi sahihi kabisa.
  11. kivulicheupe

    Gazeti la Charlie Hebdo kuchapisha katuni za Muhammed tena

    Ni kweli mizaha hugharimu, tena uhai wa watu
  12. kivulicheupe

    Habari zenu wana jf?

    Mkuu you are so kind kwa wageni humu jf, hongera sana mkuu
  13. kivulicheupe

    Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Bila kusahau uwazi na uhuru wa kuongea tulionao.
Back
Top Bottom