Search results

  1. IFRS

    Mwisho wa ubabe wa Sanchez wa Madrid 1989/1990…shukran zikaenda kwa Baresi na Costacurta

    Ulikuwa msimu wa 1988/89, msimu wa 1989/90 nusu fainali Ac Milan alicheza na Bayern munich
  2. IFRS

    Wote tunaowapenda wake zetu tukutane hapa

    Mimi November nimetimiza mwaka wa 7 tangu nimeoa. Namshukuru Mungu kwa kunipa huyu mwanamke. Kingine namshukuru Mungu kutowahi kuzini nje ya ndoa tangu nilipooa. Yaani nikikaa kwenye maombi natubu dhambi zingine ila uzinzi haipo. Kabla ya kuoa, nimefanya uasherati na zaidi ya wanawake 18, lakini...
  3. IFRS

    Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Mimi nilipitia hali Yako, mizimu hawana nguvu hiyo kama ukijikita kwenye maombi, Mimi wameshanishindwa, nitafute tuongee hata kwa simu
  4. IFRS

    Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Hata wake zetu, tumewatolea mahari, lakini usipotoa Kodi ya meza asubuhi, jioni hupewi mzigo
  5. IFRS

    Tulimsomesha kwa tabu akang'ang'ania kuolewa, mwisho wa siku akatelekezwa na mapacha

    Huyo dada anasumbuliwa na roho ya kukataliwa, ambayo ilianzia kwa mama yake
  6. IFRS

    Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

    Umejuaje kama suleimani hayuko mbinguni?
  7. IFRS

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Halafu, natamani sana nikupe ushuhuda wangu mmoja, Mimi nilishawahi kufungwa kwenye magereza ya kiroho kabisa, ila nikafanikiwa kutoka, nilifungwa kama miaka 5 hivi. Natamani kuelezea hii story kwa watu sababu iliyopelekea nikafungwa na sababu iliyopelekea nikafunguliwa
  8. IFRS

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Sawasawa, we jipange taratibu taratibu, siku ukimalize ushushe vitu.
  9. IFRS

    Anayesema ukilala sana na malaya huwezi kuwa tajiri aniulize mimi!

    Yaani Mungu kwenye amri zake aseme USIZINI, halafu wewe uzini, then ufanikiwe. Kwa maana nyingine Mungu anapingana na neno lake. Acha kukumfuru Mungu, Mungu sio mwanasiasa mpaka aseme uongo
  10. IFRS

    Anayesema ukilala sana na malaya huwezi kuwa tajiri aniulize mimi!

    Mungu na shetani wote wanatoa utajiri. Kama utajiri wako unatokana na maagano na Mungu, ukizini umevunja agano na utajiri wake aliokupa anauchukua. Usidanganye watu Wewe una maagano na upande wa ibilisi ambao ngono kwake sio issue
  11. IFRS

    Ukatae au ukubali Kilimanjaro ndiyo mkoa wa watu wanaojielewa

    Mkuu umewahi kuishia ulaya au marekani, siku ukifika nchi zilizoendelea ndio utaacha kuzungumzia ukabila
  12. IFRS

    Umaskini wa ukoo una tabia ya kufuata kizazi

    Andiko zuri, ila hujatoa jawabu
  13. IFRS

    Bidhaa kutoka Zanzibar kutolipishwa kodi, Serikali kuunganisha mifumo ya kodi Bara na Zanzibar

    Ila Kuna kodi inabidi tu zilipwe mara mbili, no way out, mfano kodi za VAT
  14. IFRS

    Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

    HAPANA
  15. IFRS

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mimi story nzima nimeipenda, ila suala la kutoa tip ya 50k kwa mlinzi, nimejiona Mimi sina hela kabisa
Back
Top Bottom