Search results

  1. Mr Suprize

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Mm nimecheka kidogo niliposikia kwenye FX kapoteza $200 akaamua kuachana nayo[emoji23][emoji23][emoji23] $200 serious???
  2. Mr Suprize

    Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

    Sio kwa mwez NI kwa mwaka Acha kupotosha[emoji23]
  3. Mr Suprize

    Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

    Umewaza kama Mimi [emoji16]huwa naogopa Sana kuidai serikal, Hii Kesi huwez kushinda popote
  4. Mr Suprize

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Billion 6 si Bora nikawekeze kwenye hati fungan pale BOT kwa mwaka nalamba 12% ambayo ni Sawa na milion720 [emoji16]
  5. Mr Suprize

    Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Hakuna biashara kijijn tuache kuzunguka , soko Lao kubwa wanategemea mjin,, Kijijn NI sehemu fulan ya kupata mtaji ukipata mtaji sehemu ya kukuza mtaji wako ni mjini Tu , Kijijn Fanya kilimo na ufugaj ila uwe unatokea mjin,
  6. Mr Suprize

    Je, kuna Mtanzania anaingiza kipato kutokana na Teknolojia hii ya Artificial Intelligence?

    Kwa kijana yeyote kama unatumia smartphone na kila siku unatumia mb na hazikuingizii hata $1 kwa siku Basi NI tatizo . Kwangu smartphone inanipa kipato kupitia sehemu 2 1.Natangaza biashara zangu online Hii inanisaidia kupata wateja nje ya offline, hapa nitalipia Ads na kuboost matangazo yangu ...
  7. Mr Suprize

    Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Nakuunga mkono 100% Mimi kukosa Baba Angu kunichukia Basi naamin ningekuwa mwanakijij saizi , Dingi alikuwa hapatani na Mimi ikapelekea kunifukuza home kwa Nguvu za police , ilichukua muda Sana kuamini katika maisha ya kupanga , ila nilifanikiwa kuingia town nakuanza maisha ya kupanga ...
  8. Mr Suprize

    Safari ya mafanikio inaanzia hapa

    si useme Tu unafundisha Forex , [emoji23][emoji23]
  9. Mr Suprize

    Kujiajiri VS Kuajiriwa

    Nimejiajiri miaka mitano Sasa , profit kwa mwez NI 1.2 had 1.5m Mwaka huu nikapata Ajira kwa mwez napokea 500k hafu mazingira ya Kazi NI magumu , bado nipo dilemma Sana niachie Ajira nikomae na mishe zangu au nisukume vyote , but option pekee naiona NI kuachana na Ajira , time will tell na...
  10. Mr Suprize

    Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Safi, huyo Afisa masoko wilaya ya kinondoni nimefanya naye Kazi Mbinga Ruvuma , NI mtu poa Sana , mpe hai Sana
  11. Mr Suprize

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Mimi nauza Gesi mtaji wangu laki 5 Tu lakini Faida ni 600k+ kila mwezi.
  12. Mr Suprize

    Tenda za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha

    Mimi nilishagoma hizi tender za serikal hata kama nitakuwa na mtaji mkubwa
  13. Mr Suprize

    Nimetoa pesa kwa makato kidogo

    Sion mnachojadili hapa NI utoto Tu na ugeni WA kutuma na kutoa pesa
  14. Mr Suprize

    Kama una mtaji angalau milioni 2 njoo tupambane na ufundi simu na electronic na kuuza accessories mbalimbali

    Hujasema location ulipo na Unahitaji mwekezaji aje eneo ulilopo au eneo lolote ,?? Mimi nipo interested Sana na Hii biashara ya accessories na nilikuwa natafuta fundi WA kukaa Kwa ajili ya matengenezo ya vifaa vya wateja , kwangu mm sihitaji ushirikiano WA kusema tugawane tunachopata , Mimi...
  15. Mr Suprize

    Fursa; usambazaji wa vinywaji vikali

    Bado hujaeleweka, hafu punguza kingereza ndo maana tunachelewa kukuelewa
  16. Mr Suprize

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Hapo mm simpingii 10m mpesa kupata 800k-2m NI suala la Kawaida , location ndo Mchawi hapo
  17. Mr Suprize

    KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

    Yani mkopo mnatoa mpaka Rushwa[emoji3][emoji1787][emoji1787] bongo sijui mnafeli wapi , Mimi Nina mikopo ya utumish sijawah kuwaza et nimpe Rushwa Afisa mikopo Nina mikopo ya biashara ambayo haihusiani na utumish , niliwauliza nahitaji niwe na nini ili nipate mkopo wa biashara nikapeleka...
  18. Mr Suprize

    KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

    Acha uwongo , Kwan watu wa TAMISEMI hawawez kujua taarifa zako kupitia check number yako au NIDA yako ? Wakiangalia wanajua huyu NI mtumish halmashauri fulan
Back
Top Bottom