Search results

  1. L

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Mwaka huu mtajibeba maana hamna kipya na liccm lenu tayari liko mahututi hahahahah
  2. L

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Mwaka huu mtajibeba maana hamna kipya na liccm lenu tayari liko mahututi hahahahah
  3. L

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Leo nitashinda vizuri maana wanao jua ukweli huu walikuwa wachache sana ni jambo zuri sana kuliweka sawa hili kila mtakia mema nchi yetu ajue haya na kuchagua kilicho chema kwa watanzania mungu ampe uhai Dr wa ukweli na hatimaye apate kibali cha Mungu kuiongoza nchi hii amen.
  4. L

    Mangula alishukia genge la Lowassa lililomwaga rushwa Zanzibar, Hatua kali kuchukuliwa

    Na mimi napata shida sana katika hili maana hata huyu mheshimiwa sana cjamsikia akitoa hata neno moja linalo husu uchotwaji wa pesa hizi yeye hana la kusema kuhusu hizi pesa?? Labda atuambie hizo pesa ni za wananchi au za Iptl tunataka kauli kutoka kwa Lowasa vinginevyo mnatudanganya hakika...
  5. L

    Uchaguzi wa marudio mtaa wa Mwatulole,Geita Chadema hawakamatiki

    ccm wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi hakika mungu yuko ukawa
  6. L

    Sherehe ya ushindi mkubwa wa CHADEMA Bukoba

    Kila la kheri makamanda tunawatakia sherehe njema na Mungu yu pamoja nanyi kwa kila hatua
  7. L

    Rafiki zangu; "chuki nichukieni lakini niacheni na CCM yangu"

    Ok wewe ndiye kati ya wale waliopewa magari na ccm sawa nimekupata nasikia umeuza utu wako kwa kupewa hako ka gari eti ukauzie sura kule kwenu maana eti ukoo wenu wote hakuna hata mmoja anaye miliki gari sasa wewe umevunja record eti ccm wamekununulia sasa naona unakuja na maneno ya kuwatania...
  8. L

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Hata mkatae kuunda hiyo kamati nchi hii c ya ccm bali ni ya wananchi ipo siku tu na inakuja hawa wote waliohusika na mabomu Arusha watajulikana kaeni mkijua kuwa hakuna ufalme ulioisho milele na tunajua mungu yu nasi na atatupigania ipo siku wote wazandiki mtashikishwa adabu
  9. L

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Rais kasema bana mbona unatetea jambo lililo wazi wapinzani wenu wametangaziwa kiyama ngoja tusubir utekelezaji
  10. L

    STOP and THINK: Ni kwanini Serikali ya CCM ilishindwa kuwakamata "Janjaweed walipua majengo ya Umma?

    Nilikuheshim sana kaka lakin kwa hili hapana furahia sana tu ni wakati wako kwan ni zam kwa zm kwani hata nyie zile nne bila mlifyata mkia sasa nyie kutetea kata zenu imekuwa balaa hamjiamini nn ngojeni hakuna marefu yasiyo kuwa ncha nahakika mwisho wenu uuu karibu najua mmejijenga huko ugaibuni...
  11. L

    Siasa za CCM: Kodi juu, Umeme juu, maji juu, Gesi juu, Kiwanja juu, Mshahara uleule

    Kweli Dar tunaboa sanaaaaaaa yaani hakuna wajinga kama wakazi wa Dar maana naona wao wamelizika kuona kila kitu kinatoka hapa Dar so wana conclude kuwa hawana matatizo wakati kila kitu kipo juu sijui tuwaiteje.Ukienda vijijini kuna sehemu na sehemu wananchi wanajielewa na hawataki kuisikia ccm...
  12. L

    CHADEMA yavifunika vyama vyote vya siasa nchini

    Ni kweli ndugu mti wenye matunda ndio upigwao mawe so CDM ni mti wa maembe tena yale bolibo umezaa matunda mengi tena matam sana ndiyo maana wanahangaika wabaya wetu.
  13. L

    Kinana: Msipuuze kila hoja ya wapinzani!

    Naona wanajichana na vitumbua hapo je si wanafurahia kuona mtoto kama huyo anauza vitumbua badala ya kwenda shule na hawaoni haya kuona mtoto anauza vitumbua baada ya kupewa elimu fake ya magamba ambayo hata watoto wao hawawezi kuuza vitumbua hivyo wanakula kwa unafiki tu waone eti wako karibu...
  14. L

    John Mnyika na Sakata La Maji Ubungo, Waziri Aanza Kuwajibika

    Napenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya hasa tatizo sugu la maji hapa DSM Hongera kamanda wangu. Pia napenda kukueleza kuwa sisi wakazi wa Mpiji Magohe bado tunatatizo sugu la maji licha ya kuuziwa maji kwa bei ya kuruka pia ni nadra...
  15. L

    CCM wapigeni stop Shonza na Mwampamba kuhubiri Udini, Ukanda na Ukabila....NI HATARI!

    Watanzania hatutaki mambo ya ukanda au udini ukweli wa hili mnalolihubiri ni angamizo kwenu na taifa kwa ujumla kwani siasa zenu za uccm sisi tayari tunazijua japo mnajifanya hamuoni ukweli, Tanzania ilipofika sasa ni ccm iliyoasisi upuuzi huu sasa kwa njaa zenu za kuangalia mlipo maana...
  16. L

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Hongera kwa kuwajibu kuliko ungekaa kimya maana watu wajinga dawa yao ni hiyo hongera kamanda wangu. Sasa tusubiri waje na elimu zao za kichina hapa maana tunawajua hata waje kinyumenyume umewakamata pa baya.
  17. L

    Watanzania tahadharini kwani tunapotoshwa na M4C

    Walisema ni vyama vya msimu sasa waogopa nni au mkuu wako alisema vibaya?
  18. L

    Wasifu mfupi wa marehemu mtarajiwa 2015

    Unajidanganya anza kula vya mwisho mwisho maana sunami inakuja na wewe hutasalimika labda watz wasikuone tumeanza Mtwara umeona mafisadi ya ccm yamechomewa nyumba sasa wew utasalimika?
  19. L

    Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

    Watafanya kazi wapi wakat maccm yameua viwanda vyetu au unaongea tu kwa kuwa wew umewapata wajinga wenzako huko uliko jifungia na kula kama mchwa mali za watz Angalia hii Lisala fupi ya marehemu ccm Marehemu ccm alizaliwa tarehe 5/2/1977 enzi za uhai wake alijishugulisha na kuua mazao ya...
  20. L

    Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

    Hata mm mha nafasi hii ipo jamani vigezo vyote ninavyo cjui hapo utabisha nini maana najua ukiniona tu hutatoka karibu dada
Back
Top Bottom