Wataangaliwa historia yao. Mfano sio wanachama wa chama chochote for the past five years. Hii isimamiwe na sheria na mtu anaapa, kinyume chake anaadhibiwa vikali. Tuko mil 50+, kupata watu 200 wasimamizi wa uchaguzi ambao ushahidi unaonyesha sio wanachama yawezekana.
Ndio maana ya HardTalk....hatakiwi kuwa neutral bali provocative...kumfanya anayehojiwa ajibu maswali magumu ya anachokiamini au asichokiamini....
Sent using Jamii Forums mobile app
China tangu mwaka 79 walikuwa na sheria kabisa ya mtoto mmoja kwa kila family, so kila family iliwekeza kwa elimu na afya ya mtoto. Family ziliweza ku save na ku prosper, huku serikali ikiwekeza ktk Maendeleo kwa ujumla. Ni kweli kuna uhusiano wa umaskini na watoto wengi ktk family. Sheria ya...
Judge mkuu aunde tume ya judges. Top officials wachaguliwe na wawe responsible kwenye tume ya Judges. Wawee confirmed na bunge. Wafanyakazi wengine waajiriwe kawaida kwa mfumo wa serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.