Search results

  1. DICTATOR

    50,000/= TZS note coming soon?

    Mimi naona sawa tu!! ilimradi tunalala, tunakula mulo mmoja kwa siku na tunafanya kazi za kubeba mizigo kutwa nzima ili tupate heka ya kula siku moja sawa tu!!
  2. DICTATOR

    Nataka kuoa aliyekuwa demu wa mshikaji wangu!

    Endeleea! kama unaona uko poa, na unajisikia saaaafi bila kuharibu uhusino na jamaa wako wa karibu na umeweka kila kitu wazi kwa jamaa yako then Go ahead mkuu. Ila navyojua lazima kuna ugumu fulani kama hujaweka mambo wazi kwa jamaa yako wa karibu.
  3. DICTATOR

    Tuanze kuijenga Chadema

    Mkuu Mganyizi, nakupa pongezi zangu kwa hii thread yako mkuu. Kama kuna lolote linalowezekana kufanywa na Chadema ni kufungua matawi nchi nzima mijini na vijijini, najua bado kuna mambo mengi ya kufanya lakini kama tutaweza kufanikiwa kwa asilimia kama 60 tu, basi 2015 ccm wakae mkao wa...
  4. DICTATOR

    Pongezi Kwa Ndege ya Uchumi

    Hongera sana Dr Ndege ya uchumi!!
  5. DICTATOR

    Elections 2010 JK atoa kauli kuhusu uchaguzi 2010

    Wageni wa Nov bado saaana wanajifunza kuwa Thinkers, bado wanalopoka, bado wako 19 karne hawana jipyaa hapa tunapoteza muda wetu. Tuwapeni muda watajirekebisha.
  6. DICTATOR

    Elections 2010 waangalizi wabaini kasoro katika kuhesabu kura

    Hapa Dawa kubwa ni kuvunja hilo litume lao, NEC ili iundwe tume huru ambayo itakuwa hailalii upande wowote. Naimani tutafika salama kuunda hiyo tume, ila kwa ndugu zetu CCM najua watalikataa hilo.
  7. DICTATOR

    Dr. Slaa kuapiswa kama Raisi katika sofa hili

    Hahahahhaah!! hapo kwenye nyekundu ndo nacheka, vinginevyo sikubaliani nawewe.
  8. DICTATOR

    Elections 2010 CCM hawajachakachua, WAMESUKUTUA

    NEC wako tayari kuonekana na aibu, wala hawajali. Nchi hii watu wamechanganyikiwa na ufisadi kila mtu fisadi. Mimi nawewe ndo kidogo tunaonekana wazalendo lakini wengine its crazy all over the country. Watu wanaonewa kama nini, lakini tufanyeje?
  9. DICTATOR

    Elections 2010 Makame anataka kujiuzulu kwa aibu!

    Watz wanaumia sana kuona haya mambo yakiendelea, wasione wamekaa kimyaa lakini kuna wakati watavunja ukimya wao na kila aliyeiba hatakuwa na amani tena. Wala hizo wanazoziiba zitageuka zero zote. Binadamu hatujifunzi kutokana na makosa yaliyofanywa na sehemu kadha wa kadha, ipo siku kitatokea...
  10. DICTATOR

    Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    10 Shinyanga Mjini 11. Njombe Magharibi
  11. DICTATOR

    Elections 2010 Taarifa kwa makame na dr.slaa

    Kuna jamaa wamejiunga wiki hii ili kutuadabisha, lakini wamechemka mbaya!! we will never give a room to change the mission. The mission is incomplete expect more to come. Mapambano yanaendelea hakuna kurudi nyuma hapo akina (GeniusBrain)' na criticism ndo kwanza wanajaribu kuchochea moto uliko...
  12. DICTATOR

    Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

    Safi sana mkuu, hizi ndo taarifa muhimu tunazotaka, na zitamuondoa huyu jamaa safari hii tena kwa aibu kubwa. Hapo ni majimbo mawili what happens to the rest of the country? Ngoja tuone yataishia wapi.
  13. DICTATOR

    Elections 2010 kihaha mjin ilichakachuliwa kulinda ajira za wakubwa...hali bado tete kwa wananchi.

    Hii nchi mimi naona inaninyima raha kila siku. Bora nikae kimyaaa wiki nzima kwanza, nitarudi jumatatu.
  14. DICTATOR

    Elections 2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

    Haturudi nyuma, na kama noma na iwe noma. Tunahitaji haki itendeke. Kila mtu anajua linaloendelea hata EU wameona ndo maana wakasema inabidi tukubali matokeo ili kudumisha amani. kitu ambacho binafsi ambacho kina gharama kubwa zaidi kuliko tukiwapelekea salamu kwa mwendo tofauti.
  15. DICTATOR

    Elections 2010 Mpanda kati-makamu mwenyekiti chadema

    Uchaguzi uliahirishwa mkuu sababu masanduku yalichelewa kufika.
  16. DICTATOR

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    You are not even a human being!! You are just a ghost!! who care about somebody's religion? We care about our country, it is not a case of islam and christians.
  17. DICTATOR

    Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

    Ahsante nimeshapata kwenye thread nyingine!! Pamoja mkuu, unajua hapa kila wakati watu wanakuja na habari kibao hazina miguu wala vichwa. Samahani mkuu, pamoja tutafika.
  18. DICTATOR

    Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

    Hata kama wewe unakuwa kama huelewi wakati wewe ni senior member mkuu, acha hizo mkuu hapa watu tumeletewa machaka kibao, mamluki kibao hata kama ni kweli but you should show the source, au hata za upande wa pili. Ila ahsante kwa taarifa najua ulikuwa na furaha hukujali impact za upande wa...
Back
Top Bottom