Search results

  1. kansije

    Ikulu pana mnyama, sura kama mwanangu

    :sleepy::sleepy::wacko::wacko:
  2. kansije

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Makanyagio kushakufa pale palipo kuwa panauzwa special jamaa alifariki Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  3. kansije

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Mbona the boy is mine mmemsahau na iringa one at that time Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  4. kansije

    Lugoba secondary school

    Naomba kuuliza shule ya sekondari lugoba bado ni y wazazi au ilishakuwa ya serikali
  5. kansije

    Tosamaganga high school

    mnakumbuka east london kenye maandazi, idete kwenye vitindi vya ulanzi, duu umenikumbusha mbali saaana tumechunga ngómbe sana hapo. long live tosa
  6. kansije

    Zamaradi Ajifungua...........

    Watu wanatembelea sana rimu, hawataki kutumia matiri kabisa duuu:ballchain:
  7. kansije

    Rushwa ya ngono secta ya elimu Arusha

    Shule ndo hiyo hiyo ya kikatiti na sehemu yao yakukutana inaitwa royal hotel
  8. kansije

    Rushwa ya ngono secta ya elimu Arusha

    Kuna mkuu wa shule moja inayomilikiwa na kanisa maarufu maeneo ya katiti arusha hawezi kumwajiri mwl. Wa kike hadi afanye nae tendo la ndoa, inasikitisha sana ukizingatia shule yenyewe inamilikiwa na taasisi ya kidini
  9. kansije

    Walimu changa la macho tena

    Sijakusoma, hebu elezea usikurupuke kutoa thread ambayo hajitosherezi
  10. kansije

    Nafasi za kazi kwa Form Four-leavers zinapatikana

    hiyo itakuwa kazi kutembeza sufuria mtaani ndo maana anafanya siri
  11. kansije

    Mambo ya Cameron na Umaskini wa Africa!

    prezida sijamsikia akisema lolote sasa sijui ana mpango, au nae anataka watu wapumuliane tu
  12. kansije

    hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo

    kibonde kilaza tu,
  13. kansije

    Al shabaab na polisi Tanzania

    taarifa ya kiinterejensia ya polisi wetu, maandamano ya kupinga malipn ya dowans wanadai al-shabab watafanya mashambulizi je jumamosi kwenye mechi ya simba na yanga al-shabab hawana madhara maana nao ni mkusanyiko!
  14. kansije

    Tanesco mnakeraaa..!

    tanesco go to hell
  15. kansije

    Net za Kikwete

    Jana nimejifunika hiyo neti nimeamka usiku mrefu mkuu nakuta kuna mbuu kama mia na wengine nawashuhudia wanavyopita, so tumeliwa
  16. kansije

    Net za Kikwete

    sijui niziite neti za mbu au nyavu za kuvulia samaki, yaani mbu wanapita kama kawaida inasikitisha sana, hapa tumeliwa
  17. kansije

    Wawekezaji wa kisiasa

    Naomba kuuliza! Hivi hatuwezi kupata wawekezaji wa kisiasa ili tuibinafsishe hii serikali ya magamba maana imeshindwa kazi. Naomba kuwasilisha
  18. kansije

    Hurricane Irene ( US-Canadian border ) photos...

    Mungu anawachapa kama wanavyoua wenzeo kwenye mataifa mengine kama libya, when you kill people god also purnish you in other way
  19. kansije

    Ingekuwa Upinzani utarativu ungehitajika lakini kwa kuwa ni CCM haa tuwe wavumilivu

    CHADEMA hawana magamba ndio maana wakitaka muongozo hawapewi, CCM wanaogopa magamba yao yasichunwe
  20. kansije

    Watu wengine sijui wanafikiria nini?

    <br /> <br /> hii pup iko maeneo ya iko maeneo ya ukonga mombasa
Back
Top Bottom