Search results

  1. N

    Hodiiii

    Great thinkers hamjambo?
  2. N

    Wabunge waishupalia JF

    Sasa ukiona hivi ujue hata wale akina BBC(born before Computer) wameanza kuzinduka.
  3. N

    Jimbo la Shinyanga mjini halina mbunge

    Mwanzisha mada anayejulikana kama Jiwe jeusi ameuliza kesi ya marehemu Shelembi itakuwaje nayeye ametangulia mbele ya haki? Mwenye ujuzi katika hili atujulishe.
  4. N

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Wewe ni hasara tupu. Kila hoja uliyoitaja CDM wana maelezo yake, wewe ulichoongea ni defence yako na CCM, kwanini usichallenge arguments zao unajichallenge mwenyewe?
  5. N

    Threatening messages to CDM supporters

    Ukipata nafasi ya kuongea nao wambie juhudi zao haziwezi kuzuia mvua kunyesha. Nguvu ya Chadema ni kama mvua!Wataishia kunyeshewa tu. M.Kiti Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Slaa chukueni hatua tafadhali mtulinde.
  6. N

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Kura zinatokana na wananchi walioelimishwa ili waweze kuchagua kati ya nyeupe na nyeusi. Bila elimu nisawa na mtu asiyejua jibu sahihi kati ya A, B na C anapoamua kufumba macho na kushusha kalamu kwamba itakapoangukia ndo jibu sahihi. Uchaguzi hauko nanmna hiyo. Elimu inayotolewa na CDM ndio...
  7. N

    Nape Nnauye awalalamikia watanzania ndani ya JF kumkejeli

    Ukikubali ubondia usiogope ngumi za usoni. Nape anaongea mambo yanayokuja kupingwa na bosi wake Wilson Mkama, anataka watu wasihoji kweli? Hakika kazi ipo.
  8. N

    Nape Nnauye awalalamikia watanzania ndani ya JF kumkejeli

    Ukikubali ubondia usiogope ngumi za usoni. Nnape anaongea mambo yanayokuja kupingwa na bosi wake Wilson Mkama, anataka watu wasihoji kweli? Hakika kazi ipo.
  9. N

    How to use JamiiForums effectively

    Hallo JF members!
Back
Top Bottom