Search results

  1. Y

    Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    Ungeuliza kama tuna eneo la kutosha kuwakodishia, maana tayari vodacom na airtel tumewakodishia maeneo
  2. Y

    Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    Jamani mm sijui kama hawa watu ni matapeli ila walikuja ofisini kwetu kuomba kuweka mnara wao ila tumeshindana bei wanataka kulipa sh 63,000 kwa mwezi ila sisi tulitaka sh 800,000 kwa mwezi. Walikuja wavietnam wawili na mtanzania mmoja
  3. Y

    Wananchi tupige kura ya wazi

    Wakati wa kura ya maoni wananchi turuhusiwe kupiga kura ya wazi ili kupitisha katiba mpya iliyopendekezwa na bunge maalumu. Vile vile turuhusiwe kupige kura popote pale tulipo na hata kwa njia ya mtandao.
  4. Y

    Walimu EAC sasa ruksa kufundisha nchi wanachama

    Kenya wanatumia 8:4:4 Tanzania tunatumia 7:4:2:3
  5. Y

    Nafasi za kazi kiwandani

    Technicians wa fani zipi mkuu
  6. Y

    TOSHIBA, hp, Isus LAPTOPS

    hp nzuri sana
  7. Y

    Maslai madogo ya walimu ndiyo chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini?

    Napata shida sana kutafuta chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini hususani pale ambapo unakuta kuna wanafunzi wanahitimu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika. kwa misingi hiyo je kulikuwa na migomo baridi toka huko nyuma inayosababisha kushuka kwa kiwango cha elimu au tatizo ni...
  8. Y

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    anayo sema Mh.Zito ni ukweli kama ilivyoelezwa na Mh. Rostam Azizi kuwa hizi ni siasa Uchwara na watanzania tusipowashtukia hawa watatupeleka pabaya. Kama tatizo ni uenyekiti wa POAC basi waitafute kwa utaratibu maalum na sio siasa za kupakana matope. Naamini ukweli utajulikana tu na tutajua...
Back
Top Bottom