Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu...
Hakika imepitwa na wakati ni ya mwaka 1971 ..mila na desturi za kipindi hicho ..Mke alikuwa ni mama wa nyumbani zaidi ..wengi hawakuwa wanajitafutia vipato binafsi ...
........MJINGA ANAWEZA KUWA HATA NA Phd, IKIWA ANATUMIA AKILI BANDIA
Watanganyika leo hawaijali mali yao ....WATANGANYIKA WA LEO WALIKUWEPO ENZI HIZO? Kwa hiyo hawa wavuvi wa pwani ya TANGANYIKA ya sasa hawakuwa wanajua kabisa kuvua zaidi ya kilimo tu na kuwinda? Jamii za enzi hizo kila jamii...
acha uongo ....eti kusajiliwa na club kubwa ....kwa hiyo kusajiliwa club kubwa ni zao la mfumo wa elimu moja kwa moja basi ...hayo ni matokea ya Kipaji ....hapo chini ni jedwali linalezea mfumo wa elimu wa marekani na miaka inaonekana . halafu nini kinakusahangaza mtu kuwa chekechea akiwa na...
Wivu tu huo wa Kibiashara ...na Hiyo Picha Ni ya Marehemu Wakili Nyaga Mawala ...yaani umekurupuka humjui hata Bariki Mwenyewe ..Pale kuna club na Lodge na Ni mtaaa mzima upo hivyo hivyo ..Mabar na Lodge ...Sasa ukipiga Vyombo vyako ukabeba chombo ukaenda kulala hapo ndiyo inakuwaje Danguro...
MKUYENGE,
Wewe mpaka sasa umeamje ....unampenda?au unuzuga zuga naye ? ila kwa mtu ambaye anaridhika na huduma anampotezea ila huduma huduma inakidhi vigezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.