Search results

  1. Pelekaroho

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    If you could have quoted the rent fee you could have done justice to JF.
  2. Pelekaroho

    Car4Sale Nauza Nissan x-trail

    2m ipo, inachukulika mkuu?
  3. Pelekaroho

    INAUZWA Wauza saa ⌚ tukutane hapa

    Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na...
  4. Pelekaroho

    Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Kumbe ulipoona sisiem imeshinda takribani viti vyote vya ubunge, ulielewa nini mkuu?
  5. Pelekaroho

    TUMIA INTERNET BURE KABISA BILA MB WALA SALIO

    Achana na vitu vya bure, utakuja ibiwa.
  6. Pelekaroho

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Mkuu tairi unazo used?
  7. Pelekaroho

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu naomba mawasiliano
  8. Pelekaroho

    Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Watoto walifuata nini kwenye kuaga mwili wa marehemu. Haya mambo ya kutaka kuandika historia yanatakiwa kuwa nayo makini.
  9. Pelekaroho

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Kwani Mama Suluhu ni kabila gani?
  10. Pelekaroho

    CRUTI ni mdudu"

    Hivi umeandika cruti au kuruta?
  11. Pelekaroho

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Mbona miaka yote ndo huwa inakuwa hivo kwa sisi tuliopiga kura chaguzi zaidi ya tano.
  12. Pelekaroho

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Yaani ushahidi dhidi ya serikali unategemea utafanyiwa kazi, ni bora walivoziharibu.
  13. Pelekaroho

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Mbona mzee amehitaji majibu mazuri tu, bei ya sukari ni ya nchi nzima mbona upande mmoja wa nchi kuwe na bei nzuri kwa walaji na upande mwingine kuwe na bei nzuri kwa wauzaji? Kama majibu yake anasema ni kwa sababu Kawe wamekosa mwakilishi anayefaa kusemea suala hilo, kwani bei hiyo ipo Kawe...
  14. Pelekaroho

    Sweep: App ya kufuta mafaili usiyoyahitaji katika simu yako

    Kuna app kama skype ziihitaji, hii app yako inaweza kuwa msaada?
  15. Pelekaroho

    Sweep: App ya kufuta mafaili usiyoyahitaji katika simu yako

    Je inafuta apps kama xender na nyingine ambazo nadhani sizihitaji katika simu yangu?
  16. Pelekaroho

    Bernad Morrison: Silaha hatari isiyopenda njaa

    Hivi kwani siku hizi misumari haifanyi kazi tena kwenye soka la kibongo?
  17. Pelekaroho

    Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

    Wewe una nini? Mbona unafuatilia saana squad ya ulinzi wa rais? Inakuhusu nini?
  18. Pelekaroho

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

    Gwajima na Niwemugizi kwani wao siyo maaskofu?
  19. Pelekaroho

    Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Mzee rukhsa mjanja, amesoma upepo unavumaje na yeye kajiongeza. Amenena wanayopenda kusikia wenye mamlaka. Huoni ajabu wanashughulikiwa wanao tetea katiba na na wanaotetea kuvunjwa kwa katiba wanashangiliwa kwa makofi na vigelegele. Usimshangae rukhsa, au hujamsikia mwenye bunge lake na Kesi?
Back
Top Bottom