Search results

  1. Jumanho

    Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

    Jamaa amuweke chini mkewe amwambie mgeni aliyemleta anamtongoza na yeye hamtaki
  2. Jumanho

    Warioba Anataka Nini Hasa?

    Jamaa wanaweweseka, ngoja wakati wa kura ya maoni ndio mtajua anataka nini
  3. Jumanho

    Sheikh Jongo bado ana mengi ya kujifunza

    Nimeukubali huu uzi, asante sana sheikh
  4. Jumanho

    CHADEMA na Mnyika waongo katika suala la Gesi

    Bila kuwa na jicho la tatu huwezi kuelewa mto mada anamaanisha nini
  5. Jumanho

    Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

    Kwenye red hapo ni Kipande, Hapo kwenye red ya pili hajawahi kuwa mkurugenzi wa mizani tanroads, bali ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Ujenzi nafasi ambayo alikuwa anaishikilia mpaka anateuliwa kuchukua nafasi hii ya sasa. Ila haswaa ni huyo unaemfahamu
  6. Jumanho

    Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

    Mgawe ametolewa nafasi yake imechukuliwa na Eng. Kipande
  7. Jumanho

    Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

    Hongera sana Eng. Madeni Shamte Kipande kwa kuteuliwa kuchukuwa nafasi hiyo nyeti na juu kabisa katika taasisi za umma nchini. Kwa ninavyomfahamu mimi ninauhakika mamlaka ya bandari imepata kiongozi shupavu, jasiri, makini mwenye kuthubutu pia mwenye upeo wa hali juu. Tunatumai utaiongoza...
  8. Jumanho

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    Umemjumuisha na huyu tunaemuita baba wa taifa au?
  9. Jumanho

    Tra updates

    Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec
  10. Jumanho

    Je unadhani kikosi cha sasa cha Man United chaweza kuifunga Barcelona?

    Jamaa wajua kutabiri wewe, itabidi tukupe mikoba ya sheikh yahya, Man Utd Alifungwa kweli 3 - 1 na chelsea, Magoli ya chelsea yalifungwa na Chriss Smalling, Louis Nani na Wayne rooney na lile la kufutia machozi la Man Utd liliwekwa kimiani na torreeeeeeeeeesssss
  11. Jumanho

    Je unadhani kikosi cha sasa cha Man United chaweza kuifunga Barcelona?

    Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe unaamini kikosi hiki cha sasa cha mabingwa watetezi Uingereza kinaweza kweli kuifunga Barcelona...
  12. Jumanho

    Kifanyike nini kusaidia kuinua Soka la Tanzania

    Hapo kwenye red, chakufanya wale wenye uwezo wa kumiliki vilabu kama alivyofanya Bakharesa (Azam FC) wafanye hivyo na kuviendeleza kama ambavyo wanavyofanya Azam. Hii itasababisha natural death kwa Simba na Yanga. Vilevile pia management ya hizo timu isiwe chini ya Watanzania kwa kuwa ninaamini...
  13. Jumanho

    Kifanyike nini kusaidia kuinua Soka la Tanzania

    Inakaribia miaka 30 sasa tangu Tanzania ishiriki mara ya mwisho kwenye mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, CAN. Na kwa hali jinsi ilivyo kwasasa sidhani kama tunaweza kushiriki kwenye mashindano hayo milele. Mimi nadhani ni kutokana na mfumo wa soka letu na haswa klabu kongwe za...
  14. Jumanho

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    Haya ndio matatizo ya serikali legelege inayoongozwa kwa nguvu za mafisadi
  15. Jumanho

    Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

    Mimi nadhani zito kabwe na wabunge wa CHADEMA kwa ujumla wapo one step ahead, kwanza wangeanza kuishurutisha serikali waongeze mishahara kwa wafanyakazi wake wote halafu ndio wangefuatia kwenye kufuta hizo posho. Kwa scale hizi za sasa za watumishi wa umma uamuzi wanaotaka CHADEMA na zito kabwe...
  16. Jumanho

    Natamani kujiua

    Mungu ibariki ndoa yangu na niliyemuoa nisikutane na mishankupe kama KIMADA
  17. Jumanho

    I wish I was him

    Suppose hakuvaa iyo nguo ya ndani
  18. Jumanho

    Hivi chama cha Chaga Development Manifesto(CHADEMA) cha miaka 1980-1990 bado kipo?

    Mwanajamii mwenzetu ameuliza tu jamani, kama kuna muelewa atujuze zaidi, tupunguze waungwana. Ila hii kitu ni kali, eti Chaga Development Manifesto, kweli kua uyaone.:gossip:
  19. Jumanho

    Warembo wetu jamani vimini mhhhh

    Kawaida sana
Back
Top Bottom