Search results

  1. M

    Dr. Slaa, usigombee ubunge tafadhari nakuomba

    nami naungana na wenzangu asigombee ubunge hata ukitokea popote, atapoteza mvuto wake ikatokea akashindwa, tunamtegemea sana kuikomboa nchi na wananchi wake baadaye, aendelee kuimarisha chama chake hadi kwenye grassroot.
  2. M

    Nyumba (Makazi) ya Mwl. Nyerere....

    hakuna anayeweza kumfuata matendo yake.
  3. M

    Muungano: Siku za maisha yake zinaelekea ukingoni?

    Kuhusu muungano, ni kama tunawalazimisha kuungana nao, nadhani kuja haja ya kuangalia upya kuwepo na serikali tatu au uvunjike tu, mie sion tunachofaidika kutoka kwao, wao ndiyo wananufaika sana na rasilimali zetu.
  4. M

    Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

    nadhani kuna kazi kati ya wawili hawa, jamani tukae mkao wa kula tupate burudani ya kufa mtu.
  5. M

    Muda wa tendo la ndoa

    kama kweli unampenda saana mwenzako, miezi miwili ni mwafaka kama alijifungua salama, ila akiomba mwenyewe mpe, pia unaweza kuwa unamuuliza, vipi mama unaweza kunipako kidogooo!!!!:smile-big::smile-big:
  6. M

    Chadema hamuwatendei haki wana arusha

    Huyo ni CCM damu ila najifanya ni mwana CHADEMA, achana naye"
Back
Top Bottom