Search results

  1. K

    Mkude gangwe!

    Mkunde ni zaidi ya noma, amnamsimulia mwenzake kisa cha kuwa na chongo. akasema alikuwa amejilaza chuni my miti wa minyaa huku akimchungulia ndege aliyekuwa juu ya mnyaa huo kwa bahati mbaya utomvu wa minyaa ukawa unadondoka akaona uvivu kufumba macho na utomvu ukaingia jichoni hatimae akawa na...
  2. K

    Vitu vidogo tu lakini..

    usivamie fani za watu. kawaulize wachaga watakufahamisha vzr
  3. K

    Wasichana wambea

    kumbe vigeugeu wote !!!
  4. K

    Kumbe ni Malaika

    duuu, hiyo kali sana!!!
  5. K

    nani muoga zaidi?

    ndiyo tatizo la kusema uongo kwa watoto. kwani nao wanaiga na mbaya zaidi mpaka wanawapita waanzilishi!!!
  6. K

    kuongeza mikoa mipya ni kuongeza matumizi ya serikali hawa wakuu wana kazi gani hasa?

    acheni majungu, sasa kama mikoa haitaongezwa mnategemea k2 gan? mm nimeshahaidiwa kitengo flan nyeti katika mkoa flan mpya, acheni hizo, nikipata ndo mikoa mipya isianzishwe. vuteni subra jamani
  7. K

    Trap

    Huyo panya anaweza hata akabeba gunia la mahindi!!!1
  8. K

    Sa huyu demu nimwiite jina gani

    jambo la msingi ni kwenda ANGAZA mkitoka hapo majibu mtakuwa nayo na utajua kipi cha kufanya, lkin angalia usije muumiza mdada wa watu, na je ww unamchukuliaje? labada hapo awali ni kweli alikuwa nae bf sasa kawaweka ktk mizani na ww umekuwa na uzito mkubwa ndiyo maana kashoboka na hataki tena her X
Back
Top Bottom