Search results

  1. H

    fangas za kuzunguka kucha

    habari wadau.mimi nna tatizo la kutokea vijipu kama vimejaa maji pembeni ya kucha.vikitumbuka vinauma na vinatengeneza kidonda. vinaambukizana kidole baada ya kidole.. nilienda hosp wakaniambia ni fangas ila tatizo ninanyonyesha bado na dawa waliniambia hatakiwi mama anayenyonyesha. zinanitesa...
  2. H

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    [Watu wanazungumzia msanii wa filamu we unaleta mambo ya juma nAture... Wa wapi wewe
  3. H

    Nokia E6 inauzwa

    nauza nokia E6 original,nimetumia kwa muda wa wiki moja tu, iko katika hali nzuri kabisa, bei 450,000/- atakayehitaji 0766606576
  4. H

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    mh dr rahabu na huyo ndondi ndugu yangu wako expensiva sana
  5. H

    Pspf interview

    we una matatizo
  6. H

    jaccount ya paypal

    habari zenu wakuu,mimi nipo hapa bongo nataka kufungua account ya paypal.. Hivi inawezekana kwa hapa bongo, mwenye nayo naomba anielekeze na jinsi ya kudeposite hela na n.k... Nisaidieni wakuu
  7. H

    dstv kwenye nokia E5

    aisee nimeshindwa kabisa. Ni njia gani nyingine ya kubrowse maana mi huwa natumia opera tu kwenye simu, jamani wenye nokia E5 nisaidieni,jinsi ya kubrowse kama hutumii opera
  8. H

    dstv kwenye nokia E5

    poa wakuu,ngoja nijaribu kufungua nje ya opera
  9. H

    dstv kwenye nokia E5

    habari wakuu,nina simu ya nokia E5 ambayo ina 3g.. Nimeinstall aljazeera live kutoka kwenye opera na ninaweza ku watch aljazeera headlines za kila siku.. Sasa nimeinstall na dstv lakini kila nikiselect chanell ili niifungue napata msg kuwa the service is not available in ur country or contact ur...
Back
Top Bottom