Umesema vyema mwanakijiji.
Kwa kujibu swali lako, je kuna matumaini? kwa mtazamo wangu matumaini yapo, ingawa mabadiliko tunayoyataka nchini yanakuja polepole. Matumaini yanaonekana katika eneo moja kuu, nalo ni kuongezeka kwa uelewa wa wananchi juu ya hali halisi ya mambo illivyo nchini na...
Well said,
Matatizo ya madaktari Tz yanasababishwa na mfumo uliopo nchini wa kutothamini wataalam wa fan mbalimbal na badala yake kuwakumbatia wafanyabiashara na wanasiasa. Madai ya madaktari hayatofautian sana na ya wataaluma nyingine kama walimu, wahandisi na wengineo ambao kiukweli serikali...
i think we should put an end for this in our country,the presidency issue can never be the family issue....youth lets vote for leaders who will help us to achieve our dreams
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.