Search results

  1. Elba

    Sheikh Khalifa aijibu JamiiForums, asema UKWELI sio UCHOCHEZI

    Awamu iliyopita kulikuwa na waislam wengi kwenye baraza la mawaziri. Waliinufaisha vipi dini yao?
  2. Elba

    Naanza kuchukia baadhi ya sera za Magufuli. Hivi tunajenga au tunabomoa?

    Unaongeleaje "wachache" ambao hawakujua?
  3. Elba

    Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

    Hili zoezi linafanywa kwa kukurupuka sana. Wananchi wanajazwa hofu na mashaka bila sababu ya msingi....
  4. Elba

    TRA na ushuru wa kuingiza gari

    Hivi TRA si wana calculator ya ushuru? hebu tutafute ukweli kwa kutumia hii calculator, tuwekee detail za gari na mwaka wake.. Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
  5. Elba

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Mwanakijiji akili zimeshaanza kukutoka, au ndo uzee?? inamaana hizi kasoro huzioni?? au ulikua unaziona pindi tu Dr. Slaa alipokuwa anagombea??
  6. Elba

    Toleo maalum: Cheche za Fikra - the anatomy of an atomic option na Uhondo zaidi

    Mwanakijiji mimi ni kijana mtiifu kwa Dr. Slaa, tena mimi ni muumini wa fikra zako. Lakini kwa hili la Lowassa mtanisamehe sana. Anyway nitatubu rasmi tar.26....
  7. Elba

    Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

    Huku G/Mboto nenda baa yeyote, taarifa ya habari kampeni za lowasa ikianza tu, watu wanashangilia kwa miluzi utadhani Sanchez kafunga goli mechi ya Man u!
  8. Elba

    Makonda: Kinondoni hatutaruhusu mtu yeyote kubaki vituoni

    Baada ya tar. 25 Makonda akatafute kazi nyingine ya kufanya....
  9. Elba

    Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Usiishie kupima mimba tu, kapime na ukimwi... kunauwezekano mkubwa ukawanao, manake iinaonekana wewe sio tu msaliti, bali hata kondom hujui kutumia...
  10. Elba

    Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

    Nikusanyieni makala za Mzee mwanakijiji, nikusanyieni makala za Dr. W. Slaa. Nitaanza kuzisoma Tar. 26...
  11. Elba

    Maneno Machache Ujumbe Mzito: Kukataliwa Treni la Lowassa Kwaja, Abiria Wajiandae

    Ikitokea Lowasa ajitokeze na kusema "msinichague, lile dili la Richmond nilipiga" Mie bado nitamchagua... Kwa sababu ninaamini atakuwa ametumwa na CCM kuisaliti UKAWA!
  12. Elba

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Hapana, tusikubari kushindwa kirahisi hivi, kumbukeni kuna hii kete ya ACT, inaweza kugawa kura za Lowasa. CDM Vasili wanaweza pigs kura za hasira Kwa ACT...
  13. Elba

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Hahah! Akitoka halo sense Tanga, nako aka wage sumu...
  14. Elba

    Swali la Ukorofi: Vigogo wa CHADEMA Wanaomuuza Lowassa Wakianguka Bunge Iweje?

    "Lowassa Akishinda: Kama Lowassa akishinda (kinadharia tu japo haitotokea)" Hapa ndipo huwa natofautiana na Dr. Slaa pamoja na wewe, mengine mengi huwa nawasupport...
  15. Elba

    Lukuvi awachambua wizi wa kina sumaye lowasa

    Hakusema wizi wao wangali bado wapo CCM...
  16. Elba

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Namuheshimu sana Dr. Kwa chochote atakachokisema. Nilitamani sana Dr. Awe rais Wangu ajaye, nilisononeka sana alipowekwa pembeni na nafasi hiyo kupewa Edward... Lakini iwe na iwavyo, tayari nimeshafanya maamuzi, ya kushiriki kuiondosha CCM!
  17. Elba

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Niko Tazana, nitafika hapo mda si mrufu...
  18. Elba

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Dr. Slaa yuko sana ktk mioyo ya watu, ukimya wake ama kuondoka kwake kutapoteza wengi! Sema kitu baba...
  19. Elba

    Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    Hakuna kitu kitakachonikatisha tamaa kama Dr W P Slaa kuondoka Chadema...
Back
Top Bottom