Uko sahihi, top five companies kwa utajiri duaniani ni Tech companies. Mfano: Google, Amazon and others. Digital business in potential kubwa sana kwa sasa na hata baadaye
Kwa mtazamo huo. Hata kama PayPal na payment processors wengine hawaoni potential kubwa kwa Tanzania, ni vema Serikali yetu kuwavuta waje kufungua huduma kwetu kwa kuzingatia maslahi mapana ya uchumi wa nchi na ajira kwa vijana.
Mwelekeo na hali ilivyo kwa sasa duniani uchumi kwa sehemu kubwa...
Asante sana Chige, perfect Explanation! Watanzania tupende elimukama hizi ili tufanye maamuzi ya busara. Hatuwezi kujitenga na mfumo wa kidunia tukitaka kusonga mbele kiuchumi.
Hivi hakuna kiongozi Serikalini anayepitia hizi kilio cha wananchi kwa manufaa mapana ya Taifa? Naamini biashara ya online ikisimamiwa vyema ni fursa ya ajira kwa wananchi na chanzo cha mapato kwa serikali
Yes, Ni kweli. Haya mambo yako chini ya uwezo wa serikali na yanawezekana. Kuna haja kubwa kwa wananchi kuruhusiwa kuendana na technologia ya dunia. Si vizuri kubaki nyuma.
Mleta uzi, Hongera kwa mada nzuri.
Kwa kweli inasikitisha kwamba watanzania tunaweza kununua tu huduma nje ya nchi lakini hatuwezi kulipya au kupokea malipo kutoka nchi za nje. Hili jambo liangaliwe kwa haraka na wizara husika. Nina hakika kama PayPal na Stripe zitaruhusiwa nchini, naamini...
Heri huu mdahalo umerushwa na vyombo vingi vya habari nchi nzima ili watu wajionee mgombea anayeomba kipindi kingine.
Wampime na waamue.
Ama kweli anahitaji kupumzishwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
poleni sana watu wa iringa. hakika slaa ni rais wetu.
Inaeleweka wazi kuwa mmeacha kazi zenu kwa ajili tu ya kumsikiliza mpendwa wetu.
tafadhalini thibitisheni kiu yenu hapo jumapili!
Tufurahi sote na tanzania yetu moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.