Search results

  1. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Kumbuka unaposoma bible unatakiwa kusoma in context acha kukurupuka bibilia zote nifasiri kutoka original language and its Hebrew language
  2. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Naomba unijibu kwanza swali hili mfalme Sulemani alikuwa wa rangi gani au asili yake ni IPI je alikuwa Mtu mweusi au mweupe Kwa maana ya mzungu halafu nikufungue kitu hapa
  3. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Najua itakuwa inakushangaza sana hasa ukiwa mkristo mana huna ufahamu wakutosha na wala huna muda wakujadili Taifa la Mungu yani ISRAELI ni wakina nani. Na hili narudia tena silaumu kwasababu hata viongozi wetu wadini hawatuelezi Ukweli kuhusu hili unalolifahamu Leo.. ISRAELI ni watu Weusi...
  4. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    👉 Soma Tafadhali 👈 ____________________________ Kama vilivyokwisha kueleza hapo mwanzo kuwa Bibilia ya Ethiopia ndio Bibilia ya kale zaidi na ndio Bibilia kamili yenyetofauti kabisa na Bibilia zinazotumika Leo hii na Manisa ya katoliki na Lutheran. Nikiwa na maana kuwa Bibilia...
  5. K

    Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Naomba mtitiriko mzuri na sahihi ya wa kuwapa Chonjo kuku wa nyama yani broilers. Kuanzia siku ya kwanza kuingia bandani. Nahitaji mtiririko huo. Pls Kwa mwenye ufahamu tafadhali
  6. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    So original Arabs hapa ni nani?.. Kazi kwenu
  7. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Swala la original Arab bado nalimalizia kulieweka sawa ili kila MTU Kwa uwelewa aliojaliwa anielewe. Ila nitaanza na kitabu cha Mfalme Suleiman ambacho ni wimbo wa Suleiman au wimbo ulio bora Kwa bibilia nyingine zilivyoandikwa au Kwa kingereza Songs of Solomon. Huwa napenda sana kutoa angalizo...
  8. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Hapana pitia historia vizuri. Kwanza kabisa nitaanza na kuwaelezea Hebrews or Jew ni nani. Hebrew or Jews kwa kiswahili ni Wayahudi. Maandishi ya kale kabisa ya bibilia yapo Kwa lugha za kihebrew au kiyahudi. Na napoeleza wayahudi nataka nieleweke nazungumzia watu wa race au rangi gani...
  9. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Original Arab.. Wapenzi wadau kuna kazi naiandaa endeleeni kupost nipate mda vizuri ya kuiandaa mana naona watu hawajui au maeiisahau historia ya kweli. Hii picha ya jamaa huyu hapo chini ni Original Arab acha nimalizie kuiandaa halafu wadau tufaelekezana hatua moja Kwa nyingine
  10. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Jambo la mwisho la msingi sana Ukiangalia kwa vizuri kabisa ramani ya Africa unaiona Suez Canal.. Hii Suez Canal haikuwepo kipindi cha karne za Musa or Moses kuja.. Hata Abraham baba wa Imani alipewa arthi na Mungu haikujulikana ilikuwa ni sehemu gani ila kwa ufahamu wetu sisi tunajua Abraham...
  11. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Fikiria kama Alphabetic order zilikuwa zinaexist kipindi alichokuja Yesu... Think about it
  12. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Huyu father Christ Mass ameelezewa katika bibilia sehemu gani? Mstari wa ngapi? Bibilia ipi?.. Utaona kabisa jinsi wazungu wanavyofanya kazi kubwa yakuingiza Dunia hii kwenye kiza. Televison[ Tell lie vision] Radi Magazeti Clubs Michezo ya aina yote[soka, n.k] ni vyomba mahususi vya kuuwa uwezo...
  13. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Papyrus of kemet..[ Egypt book of dead] Inasemekana kuwa story ya yesu zineibwa kwenye kitabu kifaamikacho kama Egypt book of dead ambacho ni cha kale zaidi yani kabla ya kuja Yesu.. Kwa unayetaka kujifunza fuatilia ujajua kuna giza kubwa sana ambalo leo hii linatifanya tusijitambue tuko wakati...
  14. K

    Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Kusema kweli huwa napata tabu sana kuhusu ufahamu wa kila mmoja kuhusu dini. Nikiwa na maanisha kuwa DINI ni moja ya nyenzo ya kuendesha akili za watu.. Embu tujiulize mambo ya fuatayo 1: kama Yesu hakusema kuwa yeye ni Mkristo je huu ukristo ulitoka wapi? 2: Wakati bikira Maria anapashwa...
  15. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Jesuit community [society of Jesus] Maskani yake iliopoto mjini Vatican ilihusika na mauwaji ya matajiri watatu Astor, Guggenheim, na Straus, mnamo April 15th, 1912. Jesuits community au Kwa tafsiri rahisi jamii ya yesu ilianzishwa mjini Vatican na st. Ignatius na kuidhinishwa na papa Paul III...
  16. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Hapa ni papa Nuncio Archbishop akimuwakilisha Papa Pius XII kwenye birthday party ya Hitler mnamo mwaka 1939
  17. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Leviticus 25:44-46 The Bible, "However, you may purchase male and female slaves from among the nations around you. You may also purchase the children of temporary residents who live among you, including those who have been born in your land. You may treat them as your property, passing them on...
  18. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    HV kweli hapa anayeabudiwa ni nani?.. Mungu awasamehe wote wafanyao ibada kama hizi
  19. K

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Don't forget that May 1st 1776, the illuminati was created. May 1st is also on the bottom of the pyramid of the dollar bill. May 1st is a illuminati second most sacred holiday where human sacrifice is required. Its believed that on May 1st, 1776, a Bavarian Jesuit by the name of Adam Weishaupt...
Back
Top Bottom