Search results

  1. Kisambo

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Acha kuongea ujinga wewe kampuni ya African Queen mgeni wake alishashambuliwa na mambo hapo,hata Tanzania Specialist…. Hao wanaosema hakuna wanafaidika na hiyo sehemu lakin ukweli ni kwamba Mamba Chemka wapo..
  2. Kisambo

    Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Acha kumponza mwenzio,ahakikishe pochi ina maneno tu
  3. Kisambo

    Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Kama pesa ipo ni jambo la siku chache tu[emoji23]
  4. Kisambo

    Ikungi ni Kijani kila kona miaka 46 ya CCM yaelekea Watu wamewapuuza CHADEMA na Tundu Lissu!

    Mmesahau hizo bendera na mabango mliyaweka kwa nguvu na kuondosha ya chdema kwa msaada wa mwendazake? Umesahau kwamba tangu ruhusa ya kujenga na kufanya mikutano kwa vyama ndio imetolewa. Subiri sindano ikuingie
  5. Kisambo

    Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    Wew bado ni mvulana unayepambana kuwa mwanaume,siku ukiwa mawanaume utaelewa.
  6. Kisambo

    Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Tangu lini maskini akawa na mbio zenye akili?
  7. Kisambo

    Mh Waziri Ummy Mwalimu walazimishe Wizara yako watoe ratiba ya mitihani ya vyuo vya Afya

    Hata mim nimeshangaa NACTE wanasubiri nin mpaka leo?
  8. Kisambo

    Mfahamu RTO anayehujumu Mapato ya Serikali jijini Dodoma

    Afadhali Dodoma,nadhani arusha ndio mkoa unaoongoza kwa kuwa na hawa watu wengi barabarani,yan ukiweza kutembea 5km hujakutana nao shukuru.. Na wengi wao wanaangaiza rushwa..
  9. Kisambo

    Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

    Na wew mkanye kwamba akuache ule raha na mwanamke wako
  10. Kisambo

    Nahitaji kujua vigezo na masharti vya kujiunga Indriver

    Umefanya upotoshaji mkubwa sana,Biashara ya Indrive haimlazimu dereva kwenda mahali ambapo yeye hajakubaliana na nauli husika. Indrive wao wanampa mteja wao nafasi ya kukata ofa yake na dereva ndio unaamua kukubali kwamba itakulipa au haitakulipa tofaut na kampuni nyingine kama Bolt na Uber wao...
  11. Kisambo

    Inakuwaje bei ya mafuta Tanzania inakuwa ghali kuliko nchi ambazo zinapitisha bidhaa hiyo bandari ya Tanzania?

    Tatizo kubwa ni kuwaacha wafanyabiashara wakubwa kuwa wanasiasa hivyo kusimamia maslahi yao kwanza badala ya wananchi..
  12. Kisambo

    Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

    Ndio maana anachapiwa lakin anaendelea kuvumilia
  13. Kisambo

    Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

    Siku hawa wanawake wakitaka nikubali usawa wao nasubiri kuwakuta wanasukuma mkokoteni kifua wazi
  14. Kisambo

    Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

    Ya baba yako na mama yako ikoje?
  15. Kisambo

    DC Muro matatani kwa deni la miaka mitatu

    Mume wako anajua unaandikaga ujinga
Back
Top Bottom