Search results

  1. JET SALLI

    Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    Mleta mada kwanza unatakiwa kujua ni nani anayepewa PHD ili sasa ufananishe na PHD nyingine zile za kukaa darasani,sasa hapo hatujui Hv hz PHD maraisi wanaziomba au wale wanaojipendekeza ndio wanao wapa.Tujue kuna siku udokta na uprofesa hauta kuwa na maana kabisa kwenye tasnia ya Elimu.
  2. JET SALLI

    Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Watu wote wavivu wa kusoma hupenda uhuni ktk mambo mengi na hupenda short cut,kama tunawapenda sana viongozi wetu tuwasihi wakasome shule,yaani chini ya CCM ELIMU inadhalauliwa sana.
  3. JET SALLI

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Ukiona watu wanahoji ww ondoa huo utata uwasaidie watu. na sio kukaa hapa unabwabwaja.
  4. JET SALLI

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Mngese sana huyo.Eti anataka urais Tanzania kweli CCM imewazoea watu vibaya sana.Hadi vilaza wanataka urais wakati hawaonyeshi chochote ktk utendaji wao.
  5. JET SALLI

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Hiyo ndio kazi ya IMF kudanganya miafrika nayo inaamini kipumbavu tu hakuna kuumiza kichwa ili iendelee kujikoki vzr kufaidisha wazungu.KWELI CCM NI JANGA LA TAIFA.
  6. JET SALLI

    Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

    Ukielekezwa na mtu wa kwanza huelewi then akaja mtu pili huelewi ujue ww ni kilaza tu.
  7. JET SALLI

    Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

    Ww Unaelimishwa kuhusu China na utaratibu wake kimaendeleo hutaki inawezekana ww hujui mambo ya kimataifa,unapoelimishwa kubali,ni ukweli usiopingika kwamba tunahitaji Economic regions kuliko political regions huo ndio ukweli,vijana wengi hawana ajira na mfumo wa Elimu ni uleule mbovu na hauna...
  8. JET SALLI

    Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

    Mtu aliyetoka kwenye kulima nyanya anajua nn,mlima nyanya na viazi hajui siasa,ndio maana anawataja wapinzani na hajui kwamba trip hii wapinzani wako ndani ya CCM.Alli hapi ameshapwaya tayari na hajui kinachoendelea angerudishwa akaendelee kulima nyanya tu.
  9. JET SALLI

    Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

    CCM NI SIKIO LA KUFA.Ndio maana inatapatapa kila kukicha.wala hawajui cha kufanya.
  10. JET SALLI

    John Mongella: Mimi ni Mtoto wa Mjini nimezaliwa Kariakoo, nawasihi vijana msitishwe na yoyote, kwenye kusaka Dola hatutabembelezana!

    Watanzania wana maisha magumu sana kwa sasa na wala hawataki kusikia kwamba Sijui eti kuna mtu alizaliwa kariakoo itawasaidia nn kama sio ujinga na upumbavu kwenye masikio ya watu.Watanzania wenye akili wako kimya waacheni wapumbavu wanaodhani watanzania wanaipenda sana CCM na serikali yake kwa...
  11. JET SALLI

    Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Lipo kundi fulani lenyewe linatazama tu kinacho endelea na kuweka mikakati A.
  12. JET SALLI

    Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Hatuna Raisi na anadhani bado wananchi wanamtaka, hii nchi basi tu.Yaan Rais wa nchi na wapambe wake wote wanadhani watanzania wanapenda sana ugumu wa maisha ilihali wao na makundi yao wananeemeka.The day is coming.
  13. JET SALLI

    Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa hovyo sana!

    Wapinzani wako ndani ya CCM,wakipanga mikakati na kufanyiana timing na figisu wao kwa wao.
  14. JET SALLI

    Kwa hili la panga pangua viongozi Rais Samia atapoteza mvuto kwa Chama na kwa Wananchi

    Samia Alishapoteza mvuto toka zamani wala sio kwa sababu ya panguapangua.Toka Samia ameingia madarakani maisha ya watu ni magumu lzm tuelewe hilo.
Back
Top Bottom