jamii ya wanafunzi madaktari wa chuo kikuu cha tiba cha tumaini tawi la kcmc hapa moshi,kupitia makamu wa ras wa uongozi ulipita (2010),juzi alichukua fursa pekee na kutangazakuwa muda wao umekwish n hivyo wanatoa nafasi zawanafunzikuchuku fomu kwaajili ya nafasi za urais na makamu wa urais...
mimi kwa kweli naona ni intiative kubwa,ila cha msingi sioni umuhimu wa huyo provost kuwepo kwenye hiyo comitee over since yeye hana mchango mkubwa kwenye health sector reforms as wageenda watu wenye uhusika na idara hoyo kama dr.mtweve au dr.mosha kwani wanajua
mengi juu ya jamii entirely and...
Prof. Ben Hamel
Dir. of Postgraduate
hamelogier@gmail.com
Studies, KCM College
Prof. Frank. W. Mosha
KCM College
fwmosha@gmail.com
Prof. Raimos Olomi
KCM Centre
raimosolomi@yahoo.com
Prof. Gibson Kibiki
Dir. of KC Research Institute
gkibiki@gmail.com
Dr Balthazar Nyombi
KCMC...
Aibu kubwa imeikumba tena GSF kwa kupitia uozo uliopo madarakani wa bodi ya chuo cha udaktari kcm college chini ya uonozi wake ajiitae bishop martin shao.
kweli huku ni kukosa maarifa yale aliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu na kukumbatia uovu na uonevu juu ya waongea ukweli na utetezi juu ya...
:A S shade:provost egbeth kessy
truly am sort of kind being disappointed with this baba who kipping heading this institut e rudely for the past sixteen year at his own as resultwith poor and detoriation of the academic perfomance ,of which result to his poor administration .
where by most of...
well its seems to be normal but it isnt the really situation that we may have in our college.being far from the city of dar really affecting what happening over here.
most of collegues have been asked to pay the new school fees despite the agreement handlend by senate that the ongoing student...
pandisho la ada kcmc ni batili,kinyume na sheria na uonevu mkubwa!usikubali kuonewa-usilipe ada hadi kieleweke!pamoja tunaweza!Mwenye uchungu na pesa tunazotoa huku tukipewa elimu kama chuo cha kata!solidarity forever!
Kero katika chuo kikuu cha tumaini kcmc
TASWIRA
Kilimanjaro christian medical college- ni chuo kikuu cha Tiba na huduma afya ya jamii,ikiwa ni moja ya vyuo vilivyopo chini ya vyuo vikuu vya tumaini hapa nchini.
Katika sera ya serikali ya Tanganyika iwapo mwaka wa 1960s.ilitwa mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.