Search results

  1. Tekelinalokujia

    Maandamano ya upinzani; polisi wajiweka tayari.

    Ni kweli kabisa jukumu la ulinzi na usalama wa raia na mali zao ni la polisi, na maandamano ni haki ya kimsingi ya raia, hivyo basi polisi wanawajibika kuwalinda wote wanaoandamana na watakaokuwepo maeneo ambayo maandamano yatapita na sio kuyazuia, kuyazuia kwa sababu za kiusalama kila ikiwa ni...
  2. Tekelinalokujia

    CHADEMA Ukonga: John Heche Kuunguruma Ukonga Mazizini Jumapili hii...

    Huu ni upuuzi yaani kuhamasisha ulinzi shirikishi aka polisi jamii ndio kwenda kuchangishana hela kununua matairi na petroli kwa gari la polisi kuweza kufanya doria? hawa wanasiasa na viongozi chini ya utawala wa ccm ni bure kabisa, yaani wao ni kufwata pale ambapo raia wamehangaika na...
  3. Tekelinalokujia

    Bei za Makahaba/Machangudoa Dar zilizo kwenye soko kwa mwaka wa fedha 2013/14

    SWIZ PUB TABATA wapo pia bei zao bado hawajaziingiza ?
  4. Tekelinalokujia

    Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Pamoja ktk roho moja, Muumba awatie nguvu mpate nafuu mapema.
  5. Tekelinalokujia

    waziri mweusi wa kwanza huko itali

    DRC’s Kyenge Suffers Racism As Italy’s 1st-African Cabinet Minister Dr. Cecile Kyenge, an Italian citizen born of parents from the Democratic Republic of Congo made history as the first African to become a cabinet member in Italy on April 27, a historic development which however has seen a...
  6. Tekelinalokujia

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Wewe si ulim-(Nilimgegeda effectively)? sasa haya ndio matokeo ya kusikilizia utamu na kujenga kibanda badala ya kupita njia.
  7. Tekelinalokujia

    Ndesamburo: Ngumi zitapigwa bungeni

    Compilation of World Leaders Getting In Fights - YouTube Kujua habari ni bure, kanuni na sheria zikifwatwa hakuna sababu za mtafaruku, hawa pia walipishana kuhusu kufwata kanuni na mwishowe inakuaga hivi.
  8. Tekelinalokujia

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    :nono: MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE: Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo: A = 81%-100% B = 61%-80% C = 41%-60% D = 21%-40% F = 0%-20% Mabadiliko...
  9. Tekelinalokujia

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    By Chris Lukosi Nani alikuambia mie nilifeli? Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili. Haya ukiandamana kesho halafu.... Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one? Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote...
  10. Tekelinalokujia

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Hii breder ni made in Tanzania nini? hahahaaaa:A S shade:
  11. Tekelinalokujia

    Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

    Wewe kweli -----, mwishowe hukawii kusema (Kwanza hao ni wanasisiemu London) bwahahahaaaa
  12. Tekelinalokujia

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Wewe kiazi thatha, (Katika kutekeleza hilo, CHADEMA wameanzisha kampeni za kueneza hoja yao hiyo kwa wananchi huku ikiwashawishi wakatae raslimali zao kutumika kwa manufaa ya Taifa. Mathalan, baada ya OPERESHENI OKOA KUSINI kutokuwa na mafanikio, viongozi wa CHADEMA waliwashawishi viongozi wa...
  13. Tekelinalokujia

    Jinsi Mbowe alivyotatua Mgogoro wa CHADEMA Mpanda - Just Hints

    :bange: Ndio hekima iliyotumika kuwafukuza, kwani wewe unadhani hekima manaake nini? wangekua wa kubaki wangebaki pia kwa uamuzi wa hekima.
  14. Tekelinalokujia

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Pole sana dada, katika mazingira hayo lazima utakua umevunjika moyo vibaya sana na naona umetumia maneno/mistari ya biblia katika kuhuzunika na kuumia kwako baada ya haya matukio, ila sasa naomba wewe na hao madada wengine unaoshauriana nao m-waze haya pia, hivi hiyo biblia pia inakufundisha...
  15. Tekelinalokujia

    TUNAMTAKA MKEO! Ndo habari ya mujini kwa sasa...

    Well nimependa ulivyofafanua na mimi nafikiri ni tabia ya mtu sio ushawishi wa material things, sasa kwa alieandika thread hii mi namshauri akiwa na situation kama hiyo aandike hasara, cha muhimu aweke mkataba mpya na mkeo maana umalaya ni tabia, wavune hiyo mitaji ya wahongaji then wafanye...
Back
Top Bottom