Search results

  1. K

    Ibrahim masoud 'maestro' atua E FM 93.7

    Chuki binafsi sio nzuri katka jamii inayotuzunguka hasa katka kipindi hiki kigumu cha mapitio ya #ESCROW punguza roho mbaya
  2. K

    Natafuta s2 au smartphone yeyote nzuri nina 200,000/=Tshs

    S2 nyeupe ipo pamoja S3 zote zipo (1)S2 1@200,000 (2)S3 1@300,000 (3)S2 Plus @280,000 PM FASTA TUWEZE MAKE A DEAL.....Quickly
  3. K

    Petit Man wakuache

    Diiiiiiiih.....madam mbunye??
  4. K

    Tumefika mwisho kuvumilia maovu ya jeshi la Polisi

    Daaaah ila waziri wenu wa mambo ya ndani Mathias Chikawe kichwani hakuna kitu kabisa yani waziri ana cheni ya gold shingoni anahutubia bunge kwa mujib wa maandiko matakatifu kuwa gold zinavaliwa na watoto wa kike sio wa kiume ili ziwape hamasa zaidi sasa zinapovaliwa na mtoto wa kiume madhara...
  5. K

    Sista Mtawa ajifungua mtoto wa kiume akiwa utawani

    Lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho alisahau kutumia protector ili maajab ya mola wake yaweze kutimia kwa kuwa alifanya kaz siku 6 na ya 7 akapumzka ni jambo jema kuwa amejifungua salama
  6. K

    Iran yatangaza kuua watoto wa kiume wa Netanyahu

    Kwani ukiwa jeshini uwezi kutumia fb au instargram.?
  7. K

    kumbu kumbu mjarabu

    Na yule askari pale ni nani?
  8. K

    Prof. Muhongo aongea na Redio Sauti ya Ujerumani; asisitiza fedha za Tegeta Escrow si za Umma!

    Nimependa jinsi alivyo jiuzuru kwa akili kubwa sana cz tayar ametengeneza mazingira ya watu flani kama mengi kutofanikisha project zao za kuifilis hii nchi
  9. K

    Ibrahim masoud 'maestro' atua E FM 93.7

    pia ni pigo kubwa sana kwa clouds media kuondokewa na mchambuz huyu mahiri nice step
  10. K

    Ibrahim masoud 'maestro' atua E FM 93.7

    safi sana......kwa kuwa ni bonge la producer wa vipindi vya michezo kiujumla hapa TZ
  11. K

    Utukutu wa Mario Balotelli, uliyajua haya kumi?

    amewai kusema kuwa amjui christiano ronaldo
  12. K

    Namna ya kudownload apps buree katika smartphone na adroid

    ambatanisha na kavocha while unasubiria apps zingine mkuu
  13. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ngoja nicheze nayo hii kitu
  14. K

    Tatizo la watu kushindwa kujielezea

    kuna baadhi ya wananchi wana malengo sana ya nchi hii lakin wapuuz wachache wanavunja wenzao mioyo ya kujiamini kwa kile wanachotaka kukifanya
  15. K

    Ushauri: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa kuanza na mshahara mdogo

    daaaah watu wenye mioyo kama nyinyi ni wachache sana katka ulimwengu huu kama kweli namba uliyoweka ni kwa ajili ya icho ulichokisadiki hapo juu mkuu ongera kwa hilo kiongozi
  16. K

    Jana nimegundua kwamba nampenda sana Vanessa Mdee aka V-Money!!

    nia kubwa ilikuwa kuwataarifu tu kuwa sasa #V-money yupo na juma_jux sio kwamba unampenda mkuu
  17. K

    Second interview NSSF

    mkuu ni hatarr ila yote ni heri tu big things ni kuajiriwa japokuwa wanachosha sm hw.....#ndesalee
Back
Top Bottom