Search results

  1. M

    TAKUKURU kuwasafisha akina-MKULLO?

    Nafikiri umefika wakati sasa watanzania tuamue kupitia bunge letu kuifuta Taasisi hii ambayo haina faida yoyote kwa Mtanzania zaidi ya kutuongezea gharama tu, tukiangalia tangu ilipoanzishwa rushwa imeendelea kuongezeka tu na imekuwa ndiyo kichaka cha wala rushwa wakubwa.
  2. M

    Mtwara, lindi, ruvuma vijana wengi wanataka viongozi wakuu wa chadema ili wajiunge haraka

    Harakati za ukombozi mahali popote duniani huanzia sehemu ndogo au kikundi cha watu wachache na hatimaye kusambaa sehemu kubwa hata kama si yote, ni kweli sasa ni wakati wa CDM kusambaza moto huu wa mapinduzi uenee sehemu zote Tanzania ili ukombozi upatikane kwa urahisi zaidi. Naifahamu vizuri...
  3. M

    Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

    Acha kabisa kumtetea huyu Waziri, hakuna ukubwa wa wizara wala nini, kama wizara ni kubwa ndo anaipunguza kwa kusafirisha wanyama, kutoa vibali vya uwindajikinyume na utaratibu, kuhamisha wafanyakazi hovyo na kufanya madudu mengi ambayo mengine haykuwa mentioned? He has to go na baadaye...
  4. M

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Imenishangaza sana kuona MBUNGE wa BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekosa lugha ya staha, asiye na heshima/adabu mbele ya wananchi wakiwamo wanawake, wanaume, watoto pamoja na wazee!!! ameongea matusi yasiyovumilika kutolewa hadharani mbele ya jamii ya watu wengi namna ile! Hii si...
  5. M

    Bora ubunge ufutwe tu! - Serukamba

    Jamani kumjadili huyu mbunge asiyejua hata wajibu wa mbunge ni kupoteza muda, Serukamba tunamfahamu ni mchumia tumbo tu, yeye ni kibaraka wa mamvi tu ndo kazi anayoweza bungeni. Ana pumba sana!!
  6. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Siamini kama in kweli watu wa Igunga wamethubutu kuichagua CCM tena pamoja na hali mbaya ya maisha yao na watanzania kwa ujumla, sasa watanzania tunaishi sawa na maisha ya inzi akiwa jalalani kwani inzi hubahatisha na kusubiri uozo utakaotupa jalalani siku hiyo nasi tunasubiri tu hawa mafisadi...
  7. M

    Hili la Cleopa ni kama TUSI kwa Jakaya

    Quimby naomba tuzoee utaratibu wa kumwambia ukweli mtu hata kama ni kiongozi ili tusaidiane kujenga nchi yetu, Niliangalia kipindi kile na nilifurahi kuona sasa watu kama Msuya wana msaidia rais aone mapungufu yake. Nchi masikini yenye matatizo yasiyohitaji hata secondary education kuyaelewa...
  8. M

    Stand ya mabasi ya mikoani katika giza

    Leo asubuhi nimepitia pale Ubungo stand ya mkoa na kukuta hali ya giza ambayo sikuamini kabisa kwani kama nchi iliyopata uhuru miaka 50 iliyopita leo stand yetu kuu inakosa hata taa (Umeme) na tena tumeweka agent wa kuendesha stand ile (kama sikosei) hatuna hata standby generator!!! sielewi...
  9. M

    Ujumbe kwa viongozi wa chadema na sakata la shibuda

    Nakuunga mkono Antonov 225 lakini ktk mazingira tu iwapo katiba na kanuni za CDM zinataka hivyo, makosa ya Shibuda kiufundi yanakidhalilisha CDM anatakiwa ajifunze kuwa tunaposema CDM ajue tofauti iliyopo baina yake na CCM, CDM imeonyesha umakini ktk mambo mengi na ya msingi kwa Mtz sasa yeye...
  10. M

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Naomba tutambue ya kuwepo kwa viwango wa mishahara kutokana na kazi anayoifanya mtu, Dr Slaa alipinga mshahara huo katika level ya UBUNGE ambapo sehemu kubwa ya kazi zake ni eneo la jimbo na si kwa level ya KATIBU MKUU wa chama ambapo anahitaji kutumika nchi nzima hivyo kazi zake zimeongezeka...
  11. M

    Mwanasheria Mkuu (AG) LIVE-ITV

    Sikupenda kabisa majibu yake kama mwanasheria mkuu ya serikali, anaulizwa swali badala ya kujibu anatoa dharau hata kwa yule anayemhoji mfano ''Wewe umezaliwa lini". Amediriki kuwaambia watanzania hawaelewi kwa maana wameshindwa hata kuuelewa hata muswada, Amewashangaa wasomi na kuwaona ni...
  12. M

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    Wandugu huu ni mchezo wa kuigiza, huyu January ni wakala kamili wa mafisadi hana uzalendo wala uchungu wa tatizo la umeme!!! tukumbuke kuwa yeye amewekwa katika ubunge kwa kuwezeshwa na Rostam ikiwa ni malipo kwa Mh Shelukindo ambaye alikuwepo kwenye kamati ya Mwakyembe, hivyo basi amewekwa tena...
  13. M

    Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    Hili ndilo jibu sahihi kabisa kwa wakati huu. Naunga mkono watanzania saa ya kudai uhuru wetu ni sasa, haki ya mtanzania lazima itambulike na kuheshimika! tumechoka na hatuwezi kuvumilia tena. Nimepata mshtuko sana jinsi walivyochezea kura zetu kwa manufaa yao mfano haiwekani kabisa jimboni kwa...
  14. M

    Elections 2010 Baada ya zanzibar,ni lini slaa ataenda Lindi,Mtwara na Ruvuma?

    Ni kweli wengi tungependa kushauri Dr Slaa ni lazima afanye kila linalowezekana angalau afike mikoa yote kwani kwa kutofika baadhi ya mikoa hii italeta hoja kwa mafisadi kuwa hiki ni chama cha baadhi ya mikoa, bahati mbaya huko ambako hajafika ni kanda (Southrn zone) ambako kama umasikini huko...
  15. M

    Elections 2010 Ridhwani aibukia Maswa!!

    Hiki ni kitendo cha kusikitisha mno, hii imetengenezwa katika mazingira ya kumdhoofisha Shibuda katika kampeni kwani inaonyesha sisiem wana hali mbaya wanatumia tukio hili kama mtaji kwao, lakini tumwangalie huyu bwana Riz1 alichofuata kule si msiba bali kupandikiza chuki tu. Huyu ni miongoni...
  16. M

    Elections 2010 Askofu Mokiwa akataa rushwa ya Sh11 milioni!

    Huyu Askofu siamini kama aliyosema ni kweli maana namjua ni mpenda pesa sana kuliko hata anavyompenda Bwana Yesu anayemhubiri, Kwanza yeye ni miongoni mwa mafisadi kwani ana uchafu mwingi wa kifisadi ndani ya kanisa hilo analoliongoza. Huyu hawezi acha hata 10,000/-
Back
Top Bottom