Search results

  1. gambada ynwa

    INAUZWA Sea piano radio for sale

    Hapana mkuu unaijua wewe tu
  2. gambada ynwa

    INAUZWA Sea piano radio for sale

    Wakuu nauza hii sea piano yangu bei nzuri sana. Bado kama mpya na haina tatizo lolote. Bei ni Laki mbili na nusu (Tsh 250,000). Maongezi yapo. Ipo Kivule- Mwembeni 0785220408
  3. gambada ynwa

    Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Yaani kuna siku nilikutana na huyu mnyama huko Asia daahh nilipigana nae hatari hadi nikamuua japo alinijeruhi sana
  4. gambada ynwa

    Nahitaji freezer kwa bajeti ya Shilingi 300,000/=

    Wakuu nahitaji freezer iwe mpya au used lakini isiwe na tatizo lolote lile. Bajeti yangu ni 300000 lakini iwe mwanza au musoma. Kama kuna mwenye nayo anicheki kwa 0758652954
  5. gambada ynwa

    Mwanasayansi anasema dini ni ugonjwa wa akili

    Ingekua ni mtihani ungepata 0.001% yeye anaongelea uhusiano kati ya dini na ugonjwa wa akili lakini wewe unaongelea uwepo wa Mungu. Kwamba sisi tusioamini katika dini zenu za kufikirika ndo hatuna mungu? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. gambada ynwa

    Shule yaridhia mwalimu aache kazi kwa kudaiwa shoga

    Mkuu umemuona ndugu yako huyo... Mi mapema tu nilimshitukia asee
  7. gambada ynwa

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Nahitaji mtu wa Ku unlock iphone 4s ili iweze kusoma line za hapa tz.
  8. gambada ynwa

    Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu utanivunja mbavu
  9. gambada ynwa

    Preety Boys na Ugly ones... Nani Zaidi?!

    Am agly than agly itself... Come to me babygel u won't regret kunipa papuch aseee
  10. gambada ynwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Asante mkuu nimekuelewa Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  11. gambada ynwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Mkuu ungetuwekea hii ratiba kwa muda wetu wa huku kigoma ingekua poa sana Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  12. gambada ynwa

    Je, wajua mchezaji gofu maarufu duniani Tiger Woods huwa hajitambulishi kama mtu mweusi?

    To be your home doesn't matter mkuu... Kuna wazungu hawajui hata historia yao. Kuna waAfrika hawajui historia yao. Afro-American history is my proffessional mkuu. Tuachane na hizi mambo hazisaidii hapa tuendelee na Tiger tuu mkuu
  13. gambada ynwa

    Je, wajua mchezaji gofu maarufu duniani Tiger Woods huwa hajitambulishi kama mtu mweusi?

    Hahaaa mkuu kwa vile wewe ni profesa nani wa Afro American history? Kujifunza hakuna mwisho mkuu
  14. gambada ynwa

    Wadada mnaokunywa balimi mnajiabisha

    Acha kudanganya watu
  15. gambada ynwa

    Je, wajua mchezaji gofu maarufu duniani Tiger Woods huwa hajitambulishi kama mtu mweusi?

    To be black is to have 0.00000001% of black blood - Frederick Douglas. Ukisoma Afro American literature and History hivi vitu vipo wazi tuu.
Back
Top Bottom