Search results

  1. D

    Kwa hili makampuni ya simu hayawezi kukwepa hizi lawama

    Hapo HAKUNA LAWAMA YOYOTE kwa makampuni ya simu na ndio malipo ya dhambi ya kujaribu kukwepa kodi. Kama ni mfanyabiashara na umeona umuhimu wa matumizi ya malipo kwa njia ya simu zipo huduma maalumu za malipo unasubscribe ambazo mlipaji hawezi kutoa pesa alizolipa kwa huduma/bidhaa alizonunua...
  2. D

    Makonda amuomba ruhusa Rais Magufuli awashughulikie wote wanaoikosoa Serikali. Mnatakiwa kupongeza na kusifia TU

    Juzi boss wake alipoita wale waliostaafu wamshauri, Jaji Samatta alizungumzia jambo hili hili. Na yeye kalirudia tena licha ya boss kuahidi kufuata maneno ya wazee. Yeye katudhihirishia uitishwaji wa kikao kile haukuwa na dhati ndani yake bali boss alimiss kusikika tu na kwamba kauli za hovyo...
  3. D

    TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

    Kwani wapi iliandikwa kuwa ni LAZIMA marehemu apewe sifa za uongo zisizo zake?? Tuna unafiki wa kumuona adui kila anayejaribu kumuelezea marehemu kwa usahihi, ni kweli hufahamu maana ya SUPER STAR mkuu?
  4. D

    Yaliyojiri mazishi ya Mapacha Consolata na Maria huko Tosamaganga-Iringa leo tarehe 06/06/2018

    Tuna kizazi cha ajabu kabisa aisee!! Maradhi lukuki ya siku hizi yamesababisha watoto wengi wakulie maziwa ya ng'ombe na kuambulia ulemavu wa fikra. Hawafikiri kabisaaa kama mama zao "ng'ombe".
  5. D

    Mume H.I.V anaitajika

    HIV sio tisho tena kwa maisha ya leo japo hatari ipo lakini ni kama hatari ya magonjwa na hali zingine tu na mengine ni hatari zaidi ya HIV. Tatizo ambalo ni kubwa kuliko hata ugonjwa wenyewe ni UNYANYAPAA na hakika bado tuna safari ndefu kwenye hili. Kuna watu hufikiri kwamba ugonjwa huu sio wa...
  6. D

    Simu za zamani (old phone): Laini ulinunua bei gani?

    Nokia 1100 yangu nilianza kuitumia na line ya CELTEL (Sasa airtel). Line ilikuwa Sh. 4000, unanunua kwenye pack utadhani umefungiwa CD kadhaa humu ndani, pack kubwa kinoma. Humo ndani kuna tuvitabu tuwili tukubwa tu twa maelekezo.
  7. D

    Inakuwaje mwanaume unakuwa na line nne tofauti (Vodacom Airtel Tigo Halotel) ?

    Hapa kuna mawili, either bado upo kwa mama yako unakula bure au una kipato cha kungoja ulipwe mwisho wa mwezi na hufahamu strategies za wanaume za kutafuta pesa mjini. Sisi tunaochakarika ukikosekana hewani kwa muda wa saa moja kwa sababu yoyote ile ni hasara kuu.
  8. D

    Nimerukishwa kichura chura kisa kupita eneo la Wizara ya Elimu karibu na Ikulu

    Hatuwezi halalisha UPUMBAVU na na mambo ya ajabu ajabu kwa sababu zisizo na msingi wala hoja ndani yake. Kwani hapa ni Congo?
  9. D

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Sina hakika kama hili linatokea kwa mitandao mingine pia, maana kwangu binafsi na watu wangu wa karibu niliowasikia yanatokea kwenye line zao za Vodacom Tanzania pekee. Ninatumia line zote za mitandao inayotoa huduma hapa bara lakini sijaona kwa mtandao mwingine zaidi ya Vodacom. Awali ilianza...
  10. D

    Rais Magufuli atoa kibali ujenzi wa msikiti uliozuiwa Rukwa ili kuleta maridhiano na amani, asema yuko tayari kuuzindua

    ...Ila muwe mnamwambia huyu bwana na wateule wake kuwa unafiki Mola hapendi.
  11. D

    Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Boss anavyoenjoy michezo ya kunyofoana uhai na kutesana atachukiaje kauli inayokuna kama hii ya kijana wake mpendwa? Anatafutiwa cheo kipya huyo. By the way tungemuona mnafiki tu, maana tungejiuliza ni lini kaanza kuheshimu haki za wengine kuishi?
  12. D

    Rosemary John (Oldest Prostitute): I have slept with 5,000 men!

    Tatizo ni Kizungu au hukusoma uraia kidato cha kwanza? Hujasoma kuwa alizaliwa Tz or unatafuta translator bado?
  13. D

    TCU mnajichanganya, angalia hapa

    Suala ni kuonesha uwezo angalau kwenye masomo mawili ya combination yako
  14. D

    Angalia picha: Cristiano Ronaldo akiwa anapakwa mafuta na mama yake mzazi

    Na hapa mapumzikoni na mamaye huyo huyo
  15. D

    NIGERIA: Vijana 500,000 kupata neema ya ajira

    Hawa jamaa walivyooza kwa rushwa, yatasikika mengi kwenye hii program.
  16. D

    Kutokana na yaliyotokea huko mji mkuu wa bongo, Ze Comedy show wamekuja na kali hii

    Hawana jipya hawa. Kuna tofauti kubwa kati ya comedy na UPUUZI. Baada ya kina Masanja kutoka ilibidi kibuniwe kitu kingine pale. Sijui kipindi kinawafaa nini EATV hiki kipindi.
  17. D

    Vijana, wadau kumchangia aliyemtukana Rais Magufuli

    Ila jela sio kuzuri jamani tuwage makini. Jela haimrekebishi mtu zaidi ya kuyaharibu kabisa maisha
  18. D

    Pamoja na mapungufu ya Magufuli, ilibidi nimchague maana ndo alikuwa na angalau kati ya waliogombea

    Hakika. Majuzi Malisa anaongea uongo waziwazi kwenye page yake fb, najaribu kumkosoa kwa ushahidi unaoishi vijana wa chama chake wanantukania mama mzazi! At first nilikuwa sipendezwi hata kidogo na ile hali ya hawa jamaa kuitwa nyumbu, lakini sasa naanza kuelewa aliyewapa hilo jina yalimkuta...
  19. D

    Kwa wapenda michemsho

    Sasa si ndio supu yenyewe mshama
Back
Top Bottom