Search results

  1. W

    Je hii ni serikali ya CCM? AU ya Jamhuri ya Muungano

    JE HII NI SERIKALI YA CCM? Ndugu zangu kuna jambo naona tukiliacha liendelee hivi linavyoendelea linaweza kutuletea shida baadae,nalo ni hili la wabunge wa CCM na msemo wao wa Serikali ya CCM.Wamekuwa wakisema hivi mara kadhaa hasa wanapokuwa wakichangia hoja mbalimbali bungeni. Hili si jambo...
  2. W

    Mixed reaction to CCM resignations

    Si mmesikia wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wamejiuzulu ili kupisha safu mpya zitakazorudisha imani kwa wananchi,Kimsingi hilo halitoshi inatakiwa waendelee hadi Serikalini ambapo wale walioonekana kutomsaidia Rais waengeliwi. Pia wajumbe wa NEC kuendelea kuwa viongozi serikalini kwa maana ya...
  3. W

    Matarajio katika bunge la kumi (10)

    Ni matumaini yangu wote tumekuwa mashuhuda wa mabadiliko makubwa ya kisiasa na demokrasia miongoni mwa watanzania kwa kufanya maamuzi sahihi hasa katika nafasi za Ubunge. Tumeweza kuona sura mpya za vijana wengi wakishinda nafasi za Ubunge. Ninachotarajia ni kuwa sasa tutakuwa na bunge...
  4. W

    Elections 2010 Mdahalo wa urais kabla ya uchaguzi mkuu ni lazima

    Mimi sipo mbali sana na mawazo yako kuhusu midahalo ya wagombea ila ninachotaka kuongeza ni kwamba nadhani CCM inaogopa kushiriki midahalo hiyo kutokana na kushindwa kutimiza matarajio ya watanzania katika awamu ya nne inayoishia. Mwl.J.K.Nyerere aliwahi kusema "tutawauliza hata wgombea wenye...
  5. W

    Elections 2010 Tendwa na pingamizi la chadema dhidi ya kikwete

    Awali yote napend kuwaslimia ndugu zangu wa Jamii Forum,Leo napenda kuzungimzia pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea urais wa CCM kuhusu kukiuka mkataba wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010. Hivi kuna mtu alitegemea kuwa msajili wa vyama vya siasa angefanya maamuzi ambayo...
  6. W

    Hodii

    Hi ndugu zangu me ninafuraha kubwa kujiunga katika Jamii Forum,so lt we share an ideas with you.
Back
Top Bottom