Duu Babeli kumbe mnyika alikuwa anakusanya kodi usituambie bwana. Rais hakuahidi maji,umeme vitakuwa historia miaka kumi iliyopita leo hii vp na kodi kakusanya. Tunapomlaumu mbunge tena wa upinzani kidogo tutumie akili ya kuzaliwa. Angekuwa waziri je si ungemmeza mbunge wa watu. Mnyika hata...
Mimi ni mhandisi mke wangu mwanasayansi baba yangu mtaalam wa hesabu mama yangu mtaalam wa anga tupo wote chadema. Unasemaje, na tumetoboa ushahidi tar 25 oct2015.
Kwa hiyo licence kuuzwa malaysia jamaa asinunue Sony au? Licence haiuzwi kampuni ndo inauzwa ukizungumzia licence ni kampuni au kiwanda fulani kilichopo malaysia kinapewa kibali cha kutengeneza bidhaa za kampuni husika kwa ubora uleule badala ya sony kwenda malaysia na kuanzisha kiwanda kipya...
Sony ni magwiji wa electronics kwa miongo kadhaa ni kampuni ya Japan na ubora wa vifaa vyake hauna mashaka, samsung na Lg ni wakorea wako kibiashara zaidi. Mwonekano wa nje Sansung na Lg hawajambo ila ndani kwenye PCB kitaalam ni Sony baba lao.
Ndugu zangu watanzania hata mjitetee vp Tz Tupo nyuma kimaendeleo na tunarudishwa nyuma kwa sera hii mpya kwa kitendo cha kutojua kiingereza no more no less atakayepinga ampeleke mwanae hzo za kata majibu atayapata ukubwani.Nenda Muhimbili niambie ni kifaa kipi kinachotoa maelekezo kwa...
Ukweli ni kwamba mikutano yote mkoa wa arusha usafiri ilikuwa bure unapewa na fulana na elfu 30 juu anaebisha aje akanushe. Usa-River watu wamebebwa kwa malori na fuso kupelekwa mkutanoni.
Ndugu toleo jipya la Epson L850 lina sifa kama za Epson Px660 wino wa nje,scanner,copier, printer, wino wa nje wa kumimina, ubora wa picha wa hali ya juu. Bei ni 1.4m tu. Wahi zipo chache ni mpyaaaa. 0754/0784 626616 kwa maelezo zaidi. Tupo Arusha
ndugu mimi mwenyewe ni muathirika wa nicol pesa yangu nyingi cjui hatima yake hvy nikiona mmada kama hizi pamoja na uzuri wake najua ni yaleyale ya nicol kwani nao walikuja na maneno matamu hivihivi ila lipo swala pia la uelewa mdogo kwa wengi wetu tuliomo humu. Hatuelewi hii miradi mara mutual...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.