Waport.
Kuna kibarabara kinapanda juu kuanzia hapo green view kuelekea maeneo ya Mkudi, mara ya mwisho
kukaona kalikuwa very rough, then wakaja kuweka makaravat kwa quotations za juu sana.
kanaendeleaje?
Max, Unajiita a bond servant of Jesus and you do not have an answer for this?
Kama ambavyo Bwana na Mwokozi wako, au your Master Jesus Christ alivyokufa na
kisha akafufuka, ndiyo itakavyokuwa kwako pia. Kama utakufa kabla Hajarudi, basi
you will be resurrected when he comes back.
Yes, Na kwa...
wewe ulifundishwa kwenu?
hemu tumegee kidogo.
Naona kama tunakimbilia kumponda huyu jamaa kwa haraka sana.
Jamaa anaweza akawa na point (ipo) ila anaipresent vibaya.
Kabla sijamtetea, anaweza akatutajia vyuo ambavyo si vya kikatoriki
na vinafundisha hizo ethics anazozisema yeye? atupe na...
Mwanakijiji.
Naomba utuangalizie huko kama huyu Jamaa ameishapewa GREEN CARD huko US.
Kuna kitu nataka kupropose urgently to my Nation.
Naomba confirmation ya hili urgently.
Waiting to hear from you soonest
Zoezi linaendelea na sababu hasa za kuhitajika kwa viparata hivyo hazina tatizo lolote lile
labda kama kuna watu waliona opportunity ya kitu chochote katika practice hiyo.
Hapa nilipo kuna huduma za western union, ukija na kiparata chako tunakitoa copy,
na tunakihandle kama internal document...
Hizi ni baadhi tu ya issues ambazo bado hazijakamilika mpaka sasa.
1. Wizi wa EPA (Rostamu, Manji, CCM) kushughulikiwa
2. Report Uchakachuaji wa Kura za DR, 2010 Election
3. Sheria ya kusimamia mchakato wa Katiba mpya.
4. Kesi tulizoahidiwa na Bosi wa Takukuru.
5. Ushahidi wa Lema kwa kumuita...
Nchii yetu, ni nchi isiyo na utamaduni wala imani moja. ni diversity hii ndio chanzo cha matatizo yetu mengi,
likiwemo hili la kufikia hatua ya kuwa na Rais Kama huyu.
Nadhani hata approach ya Mwalimu ya kupambana na ubaguzi wa Rangi, Dini, na ukabila ilikuwa na kasoro
ambazo inatulazimu...
Unamaanisha kusema nini "CUF na CHADEMA".
Mbona mnataka kumuonea CHADEMA katika kila jambo aisee.
CUF na CCM ni kitu kimoja, wako against CHADEMA sasa kwa nini unapindua pindua maneno?
au unataka kuchanganya watu?
Kama na wewe huwa unajiaminisha kwamba quality ya mindset yako intokana na kufaulu kwako vizuri form four,
basi sintarudia kufikilia kwamba hiyo ni sababu ya quality ya mind yangu tena asilani.
.
Lakini yeye Mwenyewe aliishasema hayuko tayari kuwa rais kwa kumwaga damu.
ndio maana hata alipopokwa ushindi na Mrisho alikaa kimya.
wewe hii piga ua unaitoa wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.