Search results

  1. muonamambo

    NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Mkuu naomba nisome tena . 1. 2100MW ni maximum capacity ya 9 Engine Turbine , Ambayo kila moja inakadiliwa kuwa na max 235MW. Ukiambiwa hivi maana yake uzalisha mara nyingi unakuwa 90% ya kiwango cha juu. wasomi wa umeme tunajua tunaita power factor 2. Utafiti uliofanywa na wabobezi kutoka...
  2. muonamambo

    NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Mkuu sio kila uzalishaji utakuwa sawa kama hesabu zako . 1. Kwanza kupata zote 2100MW kutategemea upatikanaji wa Mvua .Mvua isipokuwa ya kutosha hatuwezi kupata maxmum capacity .. Pia fahamu tukipata ukame kwa miaka kadhaa tunaweza kushindwa kuzalisha umeme kabisa . Mungu aepushie mbali. 2...
  3. muonamambo

    TANESCO wanastahili kushitakiwa!

    Wasiojulikana ?
  4. muonamambo

    TANESCO wanastahili kushitakiwa!

    Wanamgombanisha Mama na Wananchi
  5. muonamambo

    TANESCO wanastahili kushitakiwa!

    Botswana wameweza kuweka 300Mw ndani ya mwaka mmoja . Sisi Tangu enzi ya JK mgao ?
  6. muonamambo

    TANESCO wanastahili kushitakiwa!

    Nchi haiwezi kuwa kwenye Mgawo kwa Mwaka mzima na watu wapo kimya tu
  7. muonamambo

    TANESCO wanastahili kushitakiwa!

    Tanesco need to be held accountable for their failures of providing adequate services. As people we are not communicating, putting enough pressure on this institution/ leaders. Have we just chosen to accept whatever thats happening? What are we fearing exactly?? A basic right? I heard that...
  8. muonamambo

    Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

    Tatizo halikuwa kwa Ikulu .ikulu hawalazimiki kutoa details zote za Mwaliko wa Rais. Kitima anazo source za kutosha za habari za kujua anaalikwa Ikulu kwa shughuli gani? Alikuwa na muda wa kutosha kupata taarifa na kuamua. Hata Fr Kitima hana kosa kuuzulia hafla hiyo. Maana ukipinga jambo na...
  9. muonamambo

    DSTV na Utapeli wa Ofa

    #DSTV_na_Utapeli_wa_ofa_Nashauri_Muache. Tarehe 10 July 2023, Nipo ndani ya Kikao muhimu na wadau wa serikali tukijadili issues muhimu kwa mstakabali wa nchi yetu. Mara Simu yangu inaita na ni namba ngeni, Nawaomba hudhuru wana kikao naomba nipokee simu maana ni namba ngeni, wananikubalia...
  10. muonamambo

    Mama: ”Hili nalo mkalitazame”, Mimi: “Naomba kuwa mpenzi mtazamaji”

    Mimi naomba kuwa mpenzi mtazamaji
  11. muonamambo

    Mama: ”Hili nalo mkalitazame”, Mimi: “Naomba kuwa mpenzi mtazamaji”

    Kwa kweli .. Ila wazaramo kiboko . wana ujasiri
  12. muonamambo

    Mama: ”Hili nalo mkalitazame”, Mimi: “Naomba kuwa mpenzi mtazamaji”

    Lets wait and see .. Just why we say “ Tunaomba kuwa wapenzi watazamaji “
  13. muonamambo

    TANESCO - Mkanganyiko mtupu- Sababu za mgao na matarajio

    Hizi sababu na matarajia kila awamu ilikuwa inakuja kivyake . Kuna wakati tuliambiwa Gas itafanya mgao kuwa historia 2015. Prof Muhongo Mgao wa umeme utakuwa historia -2018 Kalemani Tunazalisha umeme zaidi 1700Mw na mahitaji ni 1500Mw . Makamba 2022
Back
Top Bottom