Search results

  1. K

    Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

    Kwa taarifa nilizo nazo za uhakika, Benki hii makao makuu yake yako PPF Tower 3rd Floor kwa muda na mwezi March,2012 itahamia jengo la jirani PSPF 1st floor. imeanza na branch moja kariako na baadae January itafungua Nyerere Road karibu na Quality Plaza na march PSPF chini. Unaweza kwenda...
  2. K

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Kweli kauli mbiu imetulia, CDM wajipange kulinda kura zisichakachuliwe. Kamanda Mnyika, Mdee na Wenje watawaonyesha wana Igunga namna ya kulinda kura kwani maeneo kama Ubungo, Mwanza na Kawe bila nguvu ya vijana kulinda kwa nguvu hawa wote wasingekuwa bungeni.
  3. K

    Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

    Naomba msaada mi sizioni hizo picha
  4. K

    Hodi wanajamii

    Mimi nachukia sana ufisadi, hasa ukizingatia ulivyolitafuna taifa letu kwa kiasi kikubwa. adha, dhiki na shida zinaaowapata watanzania chanzo chake ni ufisadi
  5. K

    Hodi wanajamii

    Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin
Back
Top Bottom