Search results

  1. P

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Sio kweli kwamba Babu wa Loliondo ametumwa na Mungu kutumia dawa hiyo kuwaponya watu. Huyo Babu ametumwa na "mungu wa dunia hii(shetani) ili kuwadanganya watu waache kumtumaini na kumwamini Mungu wa kweli ili hatimaye waangamie siku ile ya mwisho. Soma 2 Wakorintho 4:4 na kisha tafakari kwa...
  2. P

    Chadema Waishukuru Polisi

    naona tufikirie juu ya jambo hili.
  3. P

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    akili ya kiufisadi,kwani wangeruhusu mbona mambo yangekuwa yamekwisha jana
  4. P

    Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

    wameyataka wenyewe acha waone nguvu ya umma,na wataacha dharau.Kwa nini kuiba haki ya mtu mchana kweupe???
  5. P

    Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

    Kwani ni mchungaji yupi halindwi?.Kuna mambo ya rohoni,hufanywa kiroho,kuna mambo ya mwilini hufanywa kimwili.Paroko huwa na timu ya vijana kama wawili au wanne,mchungaji wa kilutheri huwa na wazee wa kanisa,hawa ndio walinzi.Kwa upande wa mchungaji Gwajima ni kutokana na huduma yake,anapambana...
  6. P

    "MLOKOLE" ananitia majaribuni!

    Originally Posted by Jaba-li Ndugu yangu, kubadili imani kwa ushawishi wa mtu mwingine ndio mwanzo wa kuyumba kwa mipango na mambo yako mengi ktk maisha yako, na hasa kuingia ktk madhehebu yaliyoibuka kipindi hiki. Mengi ya madhehebu haya hayana tofauti na makampuni ya biashara au magenge ya...
  7. P

    Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010

    Campana umenifanya nichangie maana comment yako kuwa mkuu wetu wa nchi atajichekeshachekesha imeniacha hoi.Hivi ni kwa nini tuko hivi??Ina maana badala ya mkuu wa kaya kuzungumzia matatizo yetu azungumzie kuhusu kuzindua kaburi la FL wa malawi??Is it serious?Campana niambie kama ndivyo alivyo...
  8. P

    Miss rwanda 2010 grace bahati is stunning…!!!

    Usitamani wa jirani yako wala chochote alicho nacho.
  9. P

    Kaburi la kiyeyeu lililopo Iringa ni kweli linamaajabu yanayozungumzwa ?

    Haa,mbona kuna jamaa aliitwa Simon Bar Yesu lakini alikuwa mchawi?Uchawi hauchagui dini au jina.
  10. P

    Naweza kumuoa huyu?

    Waone kwanza wanaokutunza kiroho,maana umesema wewe ni mkatoliki mwone padri na umweleze hali ilivyo ushauri atakaokupa ufuate.Maana kuna kipindi jamaa mmoja alikutwa na mambo kama hayo ila alipomweleza mchungaji na wazee wengine wanaojua mambo vizuri walikubali na ndoa ikafungwa.Undugu hapo uko...
  11. P

    Eti ni kweli maprofessor hawajui mapenzi?

    Yawezekana maana mambo hayo yanaendana na nguvu za mwili,ndio maaana utakuta shamba boy ni wazuri sana kwa kuwa kazi zao zinawafanya miili yao iwe fit. sababu nyingine huenda ikawa ni kukosa mazoezi kwa maana muda mwingi yuko kwenye buku huwezi mlinganisaha na mtu wa kazi za nguvu.Kusoma...
  12. P

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Ukisema kitu kifutwe utakuwa unazo sababu za kutosha,kwa kutoa vipengele kadhaa ambavyo wamekiuka.Ukikurupuka kama ulivyofanya,huo ndio udikteta,tunaishi kwa misingi ya sheria.Hivyo toa kifungu cha sheria na adhabu yake iwe kufutwa.Vinginevyo you are not a great thinker.Huna Data,huna kifungu...
  13. P

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Kuna watu nawashangaa sana,wakidai eti kwa kuwa chama ni cha kikabila au kidini kitakufa.Sijui hiii falsafa ameitoa wapi.Hebu fikiri je mtu anaweza kukataa kabila lake kwa ajili ya chama?.Na ikiwa ni chama cha kabila kwa nini mimi ambaye ni wa kabila hilo nisikipende chama changu??Au kama ni cha...
  14. P

    Gari inauzwa

    Ni aina gani ya gari???Is it suzuki
  15. P

    Selikali itupie jicho biashara za wachungaji hawa

    Haya ni maisha,kuhusu kusema watahukumiwa au la hilo sio la mwanadamu,maana hakuna ajuaye baada ya kifo.Naona aliyetoa hoja hii naomba kusema kuwa huenda anaona wivu wa mafanikio walioyapata hawa jamaa.Hii tunaiita ni biashara kamili kama ilivyo biashara nyingine halali,unapoiva kiroho na...
  16. P

    Tahariri ya Mtanzania: Uchaguzi wa Meya wa Arusha ni Batili!!

    Shame on you CCM kumbe ninyi ndio wa kwanza kuimega amani mnayotamba nayo kumbe hamkuijenga ninyi.CCM kimekuwa chama cha wahuni sasa.MOD usinifungie kwa kutumia neno wahuni.N ahuyu aliyepewa jukumu la kusimamia uchaguzi na hajui sheria basi aondolewe maramoja akajifunze sheria vizuri,
  17. P

    Nifanye nini katika hali hii??????

    Kama kule Mwanza aliko ni nyumba ya huyu aliyeoa,basi mwache atulie mpaka apate nguvu ndio umweleze.Ila asijihangaishe kusema anaondoka kwenye hiyo nyumba,yeye atulie tuli jamaa atamchoka tu huyu waliyefunga naye naye ndoa ya bomani na kwa kuwa watakuwa wamepanga basi atarudi tu Mwanza. Ila...
  18. P

    CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya

    Cha asubuhi unasinzia mchana ukiwa kazini.Ni kweli ni kitamu sana ila tatizo usingizi ukiwa kazini mchana au kwenye daladala
  19. P

    Huyu mtoto wa Kihaya vp???ni wivu tu au?

    Alishapitia hayo ndio maana yuko makini akijua kuwa yeye alikuwa anatumiwa message na anajua jinsi alivyokuwa anaweza kuzificha aitha kwa kudelete ndio maana yuko makini kwako.
Back
Top Bottom