Search results

  1. M

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Mr Fyatu usiwatetee wezi waache waondoke, natambua umuhimu wa kuwa na viongozi wachapakazi na wasafi kwa mstakabali wa Taifa langu, lakini kwa hili HAPANA hata kama Muhongo na Maswi ni wachapakazi unawaubali wakubali wameteleza katika utendaji wao wapishe waje wengine mbona wanajiona bila...
  2. M

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Hakuna waziri muongo kama professor Muhongo-Hamis K.
  3. M

    Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Kama ni ya uongo kwa hiyo wewe unataka kusema nini sasa wote tulisikiliza na kuisoma,ni mtazamo wako na wake ila mimi naamini ni ya ukweli.
  4. M

    Maswi: Siwezi Kuwa Mbuzi Wa Kafara. Wezi Wakuu Wajitayarishie Kihama !

    Hana lolote akabidhi ofisi, uongozi wake wa kimajungu,ukabila, visasi kwa walio kinyume naye, urafiki,kuhamisha watumshi kwa kuwakomoa, kufanya uteuzi wa vyeo kwa upendeleo,kugawa pesa kwa kujionesha kuwa ni mwanaume wenzake ni wanawake wote n.k yataendelea kumgarimu popote aendako ASANTE...
  5. M

    Prof. Sospeter Muhongo una laana ya wanamtwara

    Hakuna Waziri muongo kama profesa Muhongo- Hamis Kingwangala et al
  6. M

    Muhongo,Werema,Maswi walitekeleza maagizo

    Ni wezi hao acha kuwatetea.
  7. M

    PAC imeudangaya umma?

    Inauma namna serikali hii wanavyoaibishana wao kwa wao taarifa ya PAC imetokana na ukaguzi wa CAG,uchunguzi wa PCCB na TRA ambazo zote hizi ni taasisi za serikali.Kama taarifa ya PAC ni ya uongo,basi CAG,TAKUKURU na TRA wawajibishwe kwa kuundanganya umma wa Watanzania.
  8. M

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    SHIKAMOO ZITO ZUBERI KABWE kwa kuwatendea HAKI WATANZANIA umetimiza wajibu wako pasi shaka.
  9. M

    Umoja wa maaskofu ukowapi kutoa kauli na waraka juu ya hili swala la escrow

    Ziko wapi asasi za kiraia, TAHLISO,TUGHE, RAAWU mko wapi au haliwahusu? Tuuganeni kupinga wizi huu wa wachache huku Watanzania wakifa kwa kukosa dawa, wanafunzi mkikosa mikopo, wananchi tukiwa na huduma mbovu kwa watoto wetu shuleni nk
  10. M

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Muongo ni mpuuzi sana siyo kidogo.
  11. M

    Zitto: Maisha yetu hatarini

    PAC msiogope tusongeni mbele tuko nyuma yenu Watanzania wengi mno tulioguswa na kuumizwa na wezi kwa mud mrefu sasa MWISHO.
  12. M

    CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Kwako prof. Muhongo,, Maswi na wengine nawakumbusha maneno ya Rais Kikwete alishawahi kusema hivi: "Rasilimali inayopatikana mahali popote Tanzania ni mali ya Watanzania wote,yeyote anayetaka tuamini toufauti hajitakii mema yeye binafsi na wala Taifa" '' Cheo ni dhamana, uongozi ni...
  13. M

    CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Waletwe Nyerere square Dodoma tuwachome MOTO mbona vibaka wakiiba hata simu ya tochi anaadhibiwa na wengi wamechomwa moto sembuse na hawa walafi wa kupindukia na wenye viburi vya pesa zetu kama MASWI na Muhongo na wengineo.Wizara na taasisi zake wameibadili kuwa ya kikurya.
  14. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatatu, Tarehe 24 Novemba, 2014

    Kaa Makinda kumbe kweli karudi naanza kuamini hako ka mpango kao, je Ndugai yumo au kashaenda zake mamtoni kujiliwaza na Wafaransa?
  15. M

    Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    Haki ya Mungu nchi yangu Tanzania kama kweli wameamua hivyo na itokee hivyo basi ni heri WAKOLONI wa kizungu warudi kuliko hawa wa sasa maana labda wanaweza kuwa na huruma na watu wake INASIKITSHA NA KUTIA HASIRA SANA JAMANI.
  16. M

    Pesa za IPTL: Je, ni za wizi au Malipo yasiyo halali? Are Recipients Guilt?

    Tunataka pesa zetu DEBATE kwa sasa hakuna,kazi imemalizwa na PCCB na CAG nukta tunataka utekelezaji tu.
  17. M

    Hili ndilo taifa la mazingaombwe

    Porojo, muulize Maswi hizo anazogawa anazitoa wapi kuna taasisi yake moja huwalipa watumishi wake milioni moja kila mwezi tofauti na mishahara yao wala hazikatwi kodi na TRA ili wamuone wa maana kumbe za ESCROW na ni mali yetu aondoke na kuzirudisha pesa zetu ni ujinga kumtetea ni mtu wa...
  18. M

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Mimi ni kama TOMASO sitaki kuamini hadi sasa nilichokisikia na kukiona ITV taarifa ya habari saa mbili usiku huu, nasubiri PAC siku ya kuwasilisha taarifa hiyo kama hawatakuwa nayo NITAOMBA HIFADHI NCHI NYINGINE.
Back
Top Bottom