Search results

  1. Elinasi

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe, njia panda ya Msakuzi

    relax, Nimeshapata mteja
  2. Elinasi

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe, njia panda ya Msakuzi

    maeneo hayo ni mkazi ya watu...kuna watu wanaishi na hakuna bugudha
  3. Elinasi

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe, njia panda ya Msakuzi

    Kiwanja kinauzwa mbezi makabe, njia panda ya msakuzi. Kina ukubwa wa meter 45 kwa 28. Huduma za kijamii kama umeme na barabara vipo. Kina ukuta pande 3 tayari. Bei ni 22m...mnunuzi apige 0784 966 977
  4. Elinasi

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe, njia panda ya Msakuzi

    Kina ukubwa wa meter 45 kwa 28... Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na barabara. Kina kuta pande 3 tayari. Bei 22 million. Serious buyer: 0784 966 977
  5. Elinasi

    Kichwa kinauma, eti kibuku imelipa kodi kubwa zaidi ya Barrick!!!

    kwani wizi mkubwa na uporaji wa rasilimali za tz nikosa Tanzania?
  6. Elinasi

    Wabunge CCM wakanusha kutokuwa na imani na rais

    Gazeti kuwa la Udaku haimaanishi kuwa vitu linavyoandika sio vya kweli mkuu
  7. Elinasi

    The KEMPINSKI Connection -The beginning ......

    Dah,hii inaweza kuwa kweli hii???suti tu???hapana bana,pengine huu ni uzushi..suti tu??????
  8. Elinasi

    Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

    Hata angewashika na kuwapeleka mkono kwa mkono bado hakuna ambacho kingefanyika..hii nchi sheria na vyombo vyote vya dola ni kwa ajili ya masikini..Tajiri gani aliwahi kufungwa???Kiongozi gani aliwahi kufungwa??inamaana wao wala familia zao huwa hawakosei??
  9. Elinasi

    Nape vs Lowassa

    ni kufananisha usingizi na kifo,vitu viwili tofauti..wakati ccm wanafikiria jinsi ya kumvua gamba,yeye alishafahamu hilo haliwezekani na alishaanza kampeni za kuelekea ikulu..juzi alikuwa kkkt usharika wa mwenge kwaajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa,anachukua credits tu
  10. Elinasi

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    hata kama tukichangia mafuta,bado kama hakuna uadilifu wanawza kuyaiba na kuyauza vile vile..nafikiri nchii haijakosa fedha za kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo..TATIZO NI VIONGOZI WAIOTAKA KUWAJIBIKA NA HII INATOKANA NA KUWEKANA MADARAKANI KWASABABU ZA KUFAHAMIANA AND NOT KUTOKANA NA UWEZO...
  11. Elinasi

    Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

    Baada ya mawaziri wa wizara hiyo waliomtangulia kuondoka kwa matokeo ya kamati ya bunge kama hii,bila shaka anafata pia..angekuwa na busara hata yeye angeomba likizo,YEYE BINAFSI
  12. Elinasi

    Hassan Othman Hassanoo mikononi mwa polisi

    sasa nchi hii ni idara gani safi?baadhi ya viongozi wa vyama vya michezo nao wamo,kumbukeni ndondi na madawa ya kulevya, baadhi ya viongozi wa dini nao wadawa..
  13. Elinasi

    Tanzania ni Kichaka cha Kuficha Maharamia na Kuwaita Wawekezaji Fedha ambazo ni Blood Money!

    yote haya sio mapya bongo,aliesafirisha wanyama nje nae si muarabu..mwananchi akishikwa na nayama ya swala jela miezi 9,muarabu anakamata,anapeleka kwake,baaadae anapakia kwa magari mpaka airport baadae anapakia kwa ndege kwenda kwao...TUPO TU,NO BODY CARES..kama sio ujinga huu ni nini?
  14. Elinasi

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    nafikiri wakati mwingine watu waache porojo zisizo na msingi..hizi ni porojo
  15. Elinasi

    Dr Shein a role model president we never had!!!

    yeah ni analysis nzuri hii, lakini tujiulize aliepita kwann hakuweza kufanya haya kwa miaka kumi aliyokuwa madarakani?
  16. Elinasi

    Nape: CCM kuwarejesha kwenye ukweli vijana waliopotoshwa na wapinzani

    kama anashindwa kufahamu kwanini vijana wanaichukia ccm hafai kuwa na cheo alichonancho ndani ya ccm
Back
Top Bottom