Search results

  1. Shafi_Abeid

    Mashine ya Kufulia inauzwa, Samsung Washing Machine.

    Bado ni semi automatic. Inatakiwa ipige na pasi kabisa ili iwe full automatic.
  2. Shafi_Abeid

    Cryptocurrency speculators & analysts mpo?

    Kuna njia tatu unazoweza kuzitumia kupata Twinkles bila ya kualika watu. Ya kwanza ni kuzinunua. Kwa sasa zinauzwa hapa www.cryptocoinstreet.com. Inabidi ujisajili kisha upakie (upload) copy ya kitambulisho chako cha urai au passport na copy ya bili ya maji, umeme au bank statement ambayo ina...
  3. Shafi_Abeid

    Cryptocurrency speculators & analysts mpo?

    Tuwasiliane hapa JF au kule FB
  4. Shafi_Abeid

    Cryptocurrency speculators & analysts mpo?

    Natarajia una PERNUM Number yako na kwamba uli create Masterpin wakati unajiunga. Vyote hivi PERNUM, Password na namba tatu zinazotolewa na system randomly kutoka kwenye Masterpin yako zinahitajika unapotaka ku login kwenye tovuti yoyote ile iliyopo chini ya mtandao wa Unicorn Network. Ukitaka...
  5. Shafi_Abeid

    Cryptocurrency speculators & analysts mpo?

    Cryptocurrency ya kuwekeza kwa sasa ni Rainbow Currency. Ni coin mpya hivyo haijaanza kufahamika lakini ni coin ya uhakika na ina nafasi kubwa mno ya kuzipita coins zote zilizokuwepo hadi sasa kutokana na muundo wake ambao unamuwezesha mmiliki kununua bidhaa/huduma ndani ya mtandao wa SafeZone...
  6. Shafi_Abeid

    Epuka utapeli wa mtandaoni unaoenea kwa kasi

    Nimeshatolea maelezo kuhusu kwa nini biashara hii sio ponzi lakini kwenye uzi wangu hapa nitarudia tena kutolea maelezo ya kina kukujibu. Kwanza ponzi scheme kama vile DECI hazina biashara yoyote zinazozifanya kuzalisha. Zinatumia hela zilizolipwa na watu waliojiunga mwanzoni kulipia watu...
  7. Shafi_Abeid

    Hivi ndivyo nilivyomuelewa Rais Magufuli, siyo huu upotoshaji wa makusudi kuhusu ujenzi wa reli

    Mi napata shida sana kuelewa uelewa wa watu kwenye jambo hili. Kwani hela ya mkopo siyo ya ndani ya nchi? Ingekuwa msaada hapo sawa lakini kukopa ni kutumia hela yako mwenyewe na sio ya kutoka nje. Kukopa ni kitu kizuri tu na nchi makini hutumia hela za mkopo kuendesha nchi kwani gharama ya...
  8. Shafi_Abeid

    Mhe. Lema, vazi la msiba ni suti nyeusi na miwani, sio gwanda la CHADEMA

    Msibani unaweza kuvaa nguo yoyote lakini sio ya chama. Ni UJINGA kuleta ushabiki wa vyama msibani. Waliovaa sare za chama msibani wote ni WAJINGA bila kujali wanatokea chama gani.
  9. Shafi_Abeid

    Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

    Dhamana inawekwa kwenye mikopo ya Kiislam. Hizi ni aina kuu za huduma za mitaji kwa kutumia mfumo wa kiislam: Mudarabah ni mkataba wa ushirikiano wa biashara (Pertnership) ambapo mmoja anatoa pesa ya mtaji wa biashara kwa asilimia 100 na mwingine anawekeza mda na ujuzi wake katika kuendesha...
  10. Shafi_Abeid

    Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

    Kuna tofauti kubwa sana. Kwenye mikopo ya Islamic banking, utalipa gawio la faida pale tu biashara inapopata faida. Kukiwa kuna hasara basi hulipi kitu. Kwenye mikopo ya kawaida, utalipa riba hata kama biashara imepata hasara.
  11. Shafi_Abeid

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Kwa watakaohitaji mchanganuo wa mahesabu (Business plan) kwa ajili ya kupata mkopo benki tuwasiliane kwa namba hii 0772 977 330 au 0658 977 330. Utapata mchanganuo wa uhakika ndani ya siku 7 mara baada ya kutoa data zote zitakazohitajika kutoka kwako.
  12. Shafi_Abeid

    Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

    Kenya wako hatua chache kuhalalisha bangi kwa ajili ya matumizi yenye tija. Sisi kalagabaho! Wakenya wakihalalisha tu bangi basi itakuwa ni sehemu kubwa sana ya uchumi wao kutokana na kukubalika kwa matumizi ya bangi sehemu nyingi duniani kama ilivyoainishwa kwenye kiungo hicho hapo chini...
  13. Shafi_Abeid

    New African liberation movement

    How do you mean when you say grid?
  14. Shafi_Abeid

    Yaliyojiri Tuzo za EATV kutoka Dar es Salaam

    Kwa wanamziki ambao wana video ya mziki na wangependa iingie kwenye mashindano ya Taifa na ya dunia ya mziki fuatilieni uzi huu Huduma ya bure ya kuingiza video yako ya mziki kwenye mashindano ya kitaifa na dunia
  15. Shafi_Abeid

    Watch "SUMBI MDOGO = NGOMA ZA ASILI / bicon studio" on YouTube

    Iingize kwenye mashindano haya ya mziki Je unataka kuingia kwenye mashindano ya bure ya mziki duniani?
  16. Shafi_Abeid

    Studio monitor speaker

    Kitangaze kipaji chako au msaidie msanii unayemfahamu kutangaza kipaji chake cha mziki duniani kote na hivyo kuinua fani na maslahi ya mziki ndani ya nchi yako kwa kufuatilia uzi huu Je unataka kuingia kwenye mashindano ya bure ya mziki duniani?
  17. Shafi_Abeid

    Kuongezeka kwa lebal na studio mziki unakua au unakufa??

    Hii ni njia ya uhakika ya kuinua vipaji vya mziki Tanzania Je unataka kuingia kwenye mashindano ya bure ya mziki duniani?
  18. Shafi_Abeid

    Project funding sources

    Kwa wale watakaohitaji mchanganuo wa mahesabu wa uhakika kwa ajili ya kupeleka benki basi utaupata ndani ya wiki moja mara baada ya kutoa data zote zinazohusiana na mradi wako. Gharama ya kutengeneza mchanganuo ni asilimia 1 ya mtaji wa biashara. Tuwasiliane kwenye namba yoyote kati ya hizi...
Back
Top Bottom