Search results

  1. K

    Elections 2010 Kikwete ni msahaulifu au mzembe?

    Kipimo cha kwanza cha ubora wa kiongozi makini ni uwezo wake wa kuteua/kuchagua wasaidizi makini wenye uwezo wa kutekeleza vision ya taasisi anayoiongoza. Kipimo cha pili ni umadhubuti na ujasiri wa kusimamia kile anachokiamini na cha tatu ni uwezo wa kukemea kwa nguvu na ikibidi kuwawajibisha...
  2. K

    Elections 2010 Kuelekea uchaguzi mkuu.... SAUT FM yafungiwa....!

    Ooops!! Uhuru wa vyombo vya habari mashakani. Hii ni dalili kuwa Watawala wetu na virusi vya udikteta. Hao wengine ni "Darlings" (angalau kwa wakati huu) wanatumika kama vuvuzela wakati huu wakuelekea uchaguzi mkuu ila wakae wakielewa fungate lina mwisho wake. Kuna siku watakuja kukinywea...
  3. K

    Elections 2010 Chadema, CUF kupambana kwenye mdahalo

    Wanagoma kuongea na wananchi muda huu wa kuomba KUR/LA. Tukiwachagua tutawaona kweli au ndio watahamia hotelini mpaka 2015?
  4. K

    Tanzania YETU: Je, ni jamii ya vilaza na viongozi wa Kiimla na Ukurupukaji?

    Kwa mtu yeyote makini anayefuatilia mwenendo wa mambo yanavyoendelea katika ngazi mbali mbali za utawala wa nchi hii kuanzia serikali za mitaa mpaka Ikulu atakubaliana na mimi kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kuna nyakati viongozi wamekuwa wakitoa matamko yanayotofautiana kana kwamba wanatoka...
  5. K

    Elections 2010 Kwa mamlaka yapi?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kwenye jukwaa hili kuhoji uhalali wa Mke wa Rais kutumia rasilimali za walipa kodi kumfanya kampeni za kumrejesha mumewe madarakani. Ninatoa rai kwa wanajukwaa kujadili kama ni halali kwa mgombea tena ambaye hana nafasi yoyote kwenye serikali hivi sasa kupewa...
Back
Top Bottom