Search results

  1. K

    Elections 2010 Tusiukubali kamwe uhuni huu wa CCM

    Katika mchakato wa kupata wagombea ubunge na udiwani, si vyama vya upinzani pekee walienguliwa, kwa madai ya utata wa uraia wao. Hata CCM wenyewe baadhi ya wagombea tena ni vigogo walie kuwepo siku nyingi, wamekatwa majina yao kwenye NEC kwa swala la uraia. Na wengine walikua na vyeo huko nyuma...
  2. K

    Elections 2010 ITV ina mpango wa kuyumbisha uamuzi wa Tendwa?

    Kama wao CCM watakua wamearifiwa kuchangia hoja kwa simu na nyinyi mnangoja nini kuchangia hoja zenu kwa kuisaidia chadema? Mmekalia chuki tu, siasa zenyewe hamzijui. Mimi ningewashauri kuelimisha umma juu ya KILIMO KWANZA, na kuachana na mambo ya siasa. Naimekuaje leo hii ITV inaegemea upande...
  3. K

    Mafisadi vs wapiganaji

    Hahahahahaha!!! RED DEVIL unanichekesha kweli, unataka kuikomboa nchi hii. Kwani nchi hii bado ipo kwenye mikono ya wakoloni? Mafisadi wapo nchi zote duniani, ufisadi haukuanza jana wala leo nchi hii, toka enzi za MWALIMU NYERERE ulianza UFISADI. Na alishindwa kufanya kitu chochote. Hata wewe...
  4. K

    Mafisadi vs wapiganaji

    Huyo MPENDAZOE habebeki, mpiganaji mwenyewe yuko mahututi ICU anatapatapa tu. JIMBO LA KISHAPU alikua hakubaliki, ndio maana alikimbia miezi miwili kabla ya uchaguzi, haja wahi kusaidia hata sindano, mara kakimbilia CCJ mara kahamia CHADEMA, hata chadema kwenye kura za MAONI kaangushwa. Mtu kama...
  5. K

    Mafisadi vs wapiganaji

    Kuhusu suala la uzalendo hilo munalijua nyie, kila mtu ni mzalendo wa nchi hii, inawezekana hata MWAKYEMBE na SITTA si wazalendo.
  6. K

    Mafisadi vs wapiganaji

    Mtu kama sitta, ni mzoefu wakuvuruga bunge, hata mwalimu NYERERE alimshtukia mwaka 1994. Sir hio nyeti imebainika kufwatia mambo mbalimbali spika huyo amewahi kuyafanya katika kipindi chake cha uongozi. Hata NYERERE aliwahi kukasirishwa na mwenendo wa SITTA, alielezea MAONO yake kupitia kitabu...
Back
Top Bottom