Search results

  1. I

    Niko njia panda

    tafuta hela kwanza mkuu,ungekuwa na hela usingeachwa mkuu.umri wako ni mdogo sana jikite kwanza katika kutafuta maisha.ukiwa na hela wanawake utawakimbia.huyo hana time na wewe kwa sababu anaona anapoteza muda wake kwako(sor for the use of abusive lg).
  2. I

    Niko njia panda

    naomba nikuulize maswali: mara ya mwisho kuwakumbuka wazazi wako ilikuwa lini? mara ya mwisho kuwapigia wazazi ilikuwa lini? mara ya mwisho kufikiria uje kuwa na nyumba yako ilikuwa lini? mara ya mwisho kufikiria kuja kuwa unamiliki angalau kampuni yako ni lini? mara ya mwisho kufikiria angalau...
  3. I

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    mkuu utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa kabla hawajakukopesha unachotaka kukopa,utatakiwa kwanza uwape marejesho ya miezi mitatu ya kiasi utakacho takiwa kurejesha kila mwezi.ukishamaliza miezi mitatu ndo wanakupa kile unachohitaji.nadhani kuna link yao ipo google nadhani unaweza ukagoogle na...
  4. I

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    crdb inatoa mikopo mikubwa ila wana process ndefu hadi wakupatie.nmb wanamikopo midogo ila wanakupa ndani ya muda mfupi sana unaweza ukaanza process ndani ya siku tatu ukachukua mkopo. ukitaka mikopo yenye hela ndefu nenda EQUITY wanaweza kukupa hadi mil20 wanabranch yao mwenge na bagamoyo ila...
  5. I

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    kwa sababu upo chuo,chukua laki tano kafungue kampuni ya kitalii ya utakayoiita international university students tour.itajikita na tour za wanafunzi abroad the country hasa hasa south africa,botswana,lesotho na maeneo mengine ambayo yatakayokuwa attractive kwa hapa africa.tengeneza...
  6. I

    Sababu sita kwanini hutakiwi kuacha kujichua ikiwa bado hujaoa(Single)

    ni njia nzuri sana kama mtumiaji atakuwa anafanya kwa kuvaa mpira(condom) halafu akapaka mafuta kwa nje mengi sana kwani vijana wengi hutumia mikono.mikono husababisha michubuko kwenye uume au uke.inapendekezwa utumie mpira kwani hupunguza friction.mafuta yanayopakwa kwa nje huwa yanaongeza...
  7. I

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    hapana mkuu huyo si mimi mkuu
  8. I

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    sawa sawa mkuu,tupo pamoja
  9. I

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    huwezi mpa adhabu asie na kosa ila mkosaji ndo hupewa kosa
  10. I

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    mkuu kuna kitu nimekieleza hapo juu kuwa ni mtaalam katika maswala ya lugha,hivyo naweza kuandika tukio lolote lile kutokana na mazingira husika na kuuvaa uhusika
  11. I

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    ok,naomba niedit my thread mkuu
  12. I

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    ID yangu nyingine ni ipi mkuu?
  13. I

    MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    mkapa huwa hakwepeshi maneno
  14. I

    TODAY: Vladimir Putin 2015 media (Questions & Answers)

    may you narrate them inbrief because some of our phone does not open up some files
  15. I

    Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    NAJITOLEA KUWA AJE KWANGU NITAMPA CHUMBA HUKU MADALE PIA NITAMSAIDIA KUMTAFUTIA SAITI YA KUKAA AMBAYO HATOKUWA ANALIPA KODI.NINGEMWAMBIA AISHI KWANGU HADI YEYE ATAKAPO PENDA KUONDOKA ILA BADO SIJAMALIZIA FINISHING VIZURI.MKUU NAOMBA uniPM ILI KESHO UJE MADALE NAKUAHIDI NITAKUPA CHUMBA NA...
Back
Top Bottom