Nimeenda mara mbili ofisi za TANESCO Yombo (Buza) kuliripoti tatizo la nguzo kuoza na kuinama hadi nyaya zinazoingia ndani kukaribia kugusa chini wananipa namba za simu za TANESCO nipige kuripoti hilo tatizo, wao watakuja kutengeneza baada ya kupewa taarifa hizo na TANESCO ninayoipigia simu...
Mheshimiwa Hangaya anataka kuwa rafiki na wafanyabiashara kwa namna ambayo wao wanataka anasahau kuwa hawa jamaa hawana huruma. Acha watu walambishwe asali.
Kweli watu wanalamba asali sasa, ni mwendo wa vikao na kulipana posho. Watumishi wa uma lazima wahakikishe mama anarudi 2025 kwa namna yoyote ili waendelee kulamba asali na kula kwa urefu wa kamba zao na za kwetu pia.
Rais wa nchi moja anatembelea nchi nyingine moja zaidi ya wiki? Kweli nchi inafunguliwa na unapigwa mwingi. Asali inalambwa na kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
Ukweli ni kwamba Samia hakubariki na Watanzania walio wengi, mbaya zaidi hadi vijijini ambako ndipo mavuno mengi ya CCM hutokea hawamtaki. Sarakasi zote hizi ni katika kujaribu kumpandisha chati kabla ya 2025. Kama ilivyokuwa Magufuli lazima afe, sasa ni lazima achafuke ili mama aanze kung’aa.
Watu wenye uwezo wa kufikiri Tanzania wengi wako sekta binafsi, serikali na taasisi zake wamejaa vilaza, na kama akitokea mmoja mwenye nafuu basi hufunikwa na vilaza na yeye kuwa kama wao.
Kuna mambo yanafanyija nchi hii unajiuliza aliyeafanya alitolewa mirembe kwa ajili ya kazi hiyo tu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.