Search results

  1. Speed of light

    Siku moja na Sir Andy Chande

    Ikawa sasa nimemfahamu Chande kutoka kwa mwanachama mwenzake wa hiyo ‘’club,’’ yao. Siku moja nikamuuliza mzee wangu, ‘’Hii ‘’club,’’ yenu ni ‘’club,’’ gani?’’ Akanitazama usoni huku kakunja uso akaniuliza, ‘’Wewe unaitakia nini?’’ Sikuuliza tena hilo swali lakini iko siku...
  2. Speed of light

    Jaji aagiza Masheikh wa Uamsho kurejeshwa mahakama za Zanzibar

    Kwa wale wenye ufahamu au uelewa wa neno DINI ni nini tafsiri yake Iwe kwa lugha yoyote kwa kiswahili au kiingereza ...Kamusi zinaitafsiri nini neno DINI.. je tunaweza kuishi bila ya kuwa na DINI.....? je wale wanaosema hawana DINI au hawazihitaji DINI katika maisha yao ya kila siku wako...
  3. Speed of light

    Humphrey Polepole azibwa mdomo na fikra

    Kuwa mwanangu uyaone .....tulifikiri kuyaona magorofa....NO...' ni kuona maisha yalivyo na yanavyombadilisha mtu ....anabadilika mithili ya kinyonga anavyobadilisha rangi kulingana na mazingira....
  4. Speed of light

    Serikali ipige marufuku matamasha ya fiesta

    Taifa lisilo na maadili ni Taifa linalojichimbia kaburi la kujiangamiza , hisoria ni mwalimu mzuri sana Sodoma na Gomoro ni kielelezo tosha.... jamii ya wakati ule walihamasishana kufanya vitendo viovu vilivyowaangamiza isipokuwa wachache tu miongoni mwao ndio waliosalimika kwa kuwaonya...
  5. Speed of light

    Serikali ipige marufuku matamasha ya fiesta

    Fiesta inashawishi kuongezeka vitendo vya ngono zisizo salama kwa vijana wenye umri mdogo vitendo ambavyo aidha vinachangia kueneza ukimwi ama huwa ni chanzo cha ongezeko la watoto wa mitaani kwa vile mara nyingi malezi ya watoto wanaopatikana kwenye matamasha ya aina hii huachiwa mwanamke...
  6. Speed of light

    Siyo rahisi kuutenganisha Urais wa Trump na Ubaguzi

    Ubaguzi ni matendo yafanywayo na wale wasioamini uwepo wa Mungu muumbaji.... hakuna mwanadamu alitaka aumbwe jinsi alivyo au mahali gani ya dunia na wazazi wa aina gani au wa kabila gani.....sote tumejikuta jinsi tulivyo , kuitana majina mabaya ni Inshara ya kujikweza, huyo aliyeitwa nyani...
  7. Speed of light

    Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

    Waandishi wa habari sijui hata kwanini hawaingii machimbo kutafuta habari zisizo za kawaida ...hebu chekii huyu tall ni habari tosha kwa wana jamii pia huenda angekuwa kwa urefu wake tu angevutia wafanyabiashara na makampuni kutangaza biashara zao au hata wanaotengeneza filamu ....yeye angepata...
  8. Speed of light

    Mfahamu ndege Tai na tabia zake

    Kilichonifurahisha ni aina ya" mapenzi " ya hao Tai kupimana kwa tawi la mti lisifike ardhini , hapo nimepapenda,... sijui kama kuna aina nyingine ya viumbe wanajaribiana kwa kiasi cha Tai....
  9. Speed of light

    Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Somalia kawa mbunge

    Mkuu swala la kuthaminiwa huanza na sisi wenyewe tunapojithamini ......kama hatujithamini hakuna atakayetuthamini... muhimu hatuwezi funga milango kwa wegeni....ni wachache tu watapatikana wahuni na wasio na maadili tokea huko kwao lakini wengi wa wageni na wahamiaji halali wanafaida nyingi...
  10. Speed of light

    Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Somalia kawa mbunge

    Hii Dunia ni yetu sote Wanadamu, Dunia ilipiga maendeleo ya haraka haraka kuanzia miaka 90 wakati vita baridi ya Mrusi na Marekani kwisha rasmi kipindi hicho Dunia iliachwa huru bila kuingiliwa na hao wababe wa kivita, Utandawazi ikawa ndio sera ya Dunia,... watu wakasafiri popote duniani...
  11. Speed of light

    Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Somalia kawa mbunge

    Trump kaingia madarakani kupitia mlango wa uwani...kwa sera ya ubaguzi , jimbo la Minisota lina wageni wengi wahamiaji inaonekana uchaguzi uligubikwa na ubaguzi waminisota wakapiga kura kwa kubaguliwa na Trump Mwelekeo wa Dunia hivi sasa ni wa kubaguana ndio dili walianza waingereza...
  12. Speed of light

    Masoko ya HISA ya US yaanza kuporomoka kufuatia utabiri wa Trump kuibuka mshindi wa Urais

    Wanahabari ni mwaka wao wa kuadhirika wanapotosha umma wa ulimwengu badala ya kuwahabarisha ukweli ....ona sasa walisema Bi Clinton anaongoza katika kura ya maoni yu wapi sasa ..waandishi ni wafitinishaji wakubwa walaghai ...aibu na fedheha ni yao sasa hakuna namna...wabebe lawama ya upotoshaji...
  13. Speed of light

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Vyombo vya habari vya nje kama VoA, BBC DW vinatoa habari kwa njia ya kukupa fununu nani atakuwa mshindi, aina yao ya habari unaweza hisi zinatayarishwa na mtu mmoja..."Rais wa kwanza mwanamke kuiongoza marekani..." wanachomeka kiufundi sentensi hiyo...ndio maana Trump anawalalamikia wana...
  14. Speed of light

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Trump .... Japan, korea, ujerumani, zijilipie gharama za kulindwa, mexico nao kiroho kiko juu juu ..hata baadhi ya Nchi za ulaya hazimtaki kabisa huyu jamaa ... Dunia italipuka kwa furaha Clinton akishinda ama kweli Trump kaitetemesha dunia
  15. Speed of light

    Mataifa Matatu Makubwa Duniani Kuongozwa Na Wanawake

    Dunia ya leo sio ya Vita vya silaha baina ya Nchi na Nchi, tunashuhudia miaka ya hivi karibuni technolojia zinazohusu zana za kijeshi zimekuwa za hali ya juu ukilinganisha miaka 20 iliyopita vita vikipiganwa maafa na uharibifu pande zote zitakuwa kwa kiwango cha kutisha , achilia mbali vita...
  16. Speed of light

    Uchaguzi wa USA Leo

    Msingi mkuu wa Ubaguzi ni kule kujihisi Ubora na kujikweza dhidi ya wanadamu wenzie Sera ya Trump ya ubaguzi imejihidhirisha tuna safari ndefu ya kutokomeza dhana potofu ya ubaguzi wa aina yoyote Duniani ...Ushindi wa bi Clinton utakuwa ni ushindi kwa walimwengu wote wanaopinga dhuluma za...
  17. Speed of light

    Uchaguzi wa USA Leo

    Kando na kumpa rais mpya, wamarekani wanakaribia kuamua ikiwa watapanua eneo kubwa zaidi ambako bangi inakubalika kisheria. Katika majimbo tisa , katika siku ambayo uchaguzi unafanyika, wapiga kura watapata fursa pia kuwa na kauli yao kuhusu kuidhinishwa kisheria kwa matumizi ya bangi. Ikiwa...
  18. Speed of light

    Tathmini ya Mahojiano na Rais Magufuli: Pascal Mayalla aongea Star TV

    Swali lilikuwa moja tu la pasco pekee, maswali mengine hayakuwa maswali bali yalijielekeza kama Maoni na ushauri ingawa wauliza maswali waliyafanya kama ndio maswali, nimefurahi sana angalau kwa sasa watu wa habari watajipanga upya na kujielekeza huko kunako dhaniwa kama muhimili wa nne wa...
  19. Speed of light

    "UONGO" ni sehemu muhimu katika maisha....?

    Shetani ndio muongo namba moja kwa mujibu wa vitabu vya Dini , na waongo wanaoudhi kwa udanganyifu wao ni haya makampuni ya mitandao ya simu za mkononi eti namba yako imechaguliwa kushinda milioni kadhaa tuma neno kwenda namba....! huo ni ulaghai wa kukuingiza kwenye matumaini ya uongo
  20. Speed of light

    "UONGO" ni sehemu muhimu katika maisha....?

    Wanasema, ukiwa muongo usiwe msahaulifu....ni kanuni kuu ya utumiaji wa uongo , Wanasiasa wengi ni waongo wasahaulifu
Back
Top Bottom