Search results

  1. N

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Poor English...Bora uandike Kiswahili tujue moja!
  2. N

    Ipe maneno picha yangu ya zamani

    Kwa Tanzania ya sasa hivi, asitegemee lolote. Mfumo uliopo Tanzania kwa sasa haumpi nafasi hata kidogo. Ingekuwa enzi za 'Tanganyika' ambapo kila mtu alikuwa na fursa sawa, angekuwa na matumaini. Akijitahidi sana, ataenda shule ya msingi ambayo iko chini ya mti wa mwembe...kisha akijitahidi sana...
  3. N

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Mchangiaji mmoja kadiriki kusema Nyerere ni KAFIRI, Watanzania tumefikia hapo? Nadhani tunakoelekea ni kubaya sana. Namkumbuka jamaa mmoja katika mazungumzo yetu juu ya mstakabali wa nchi na mwenendo wa mambo hivi sasa alisema 'Watanzania tumelaaniwa'. Pia nakumbuka katika moja ya hotuba...
  4. N

    mambo ya OBAMA

    ...cha kusikitisha zaidi mkuu wetu bila desa hawezi kabisa kujieleza. Wana-psychology mnaweza kutusaidia hapa, Obama alivyoshika mdomo wakati Mkuu anajitahidi kufafanua mambo, akisaidiwa na desa lake, inaashiria nini? Je, siyo kwamba Obama yuko bored, or sympathetic, or confused na anachokisikia?
  5. N

    mambo ya OBAMA

    ...cha kusikitisha zaidi mkuu wetu bila desa hawezi kabisa kujieleza. Wana-psychology mnaweza kutusaidia hapa, Obama alivyoshika mdomo wakati Mkuu anajitahidi kufafanua mambo, akisaidiwa na desa lake, inaashiria nini? Je, siyo kwamba Obama yuko bored, or sympathetic, or confused na anachokisikia?
  6. N

    mambo ya OBAMA

    these are completely two different people with completely two different IQ capacity: one has very high IQ and the other one very low. It seems our prez is trying to make a point. Unfortunately Obama cannot make any sense of what he is saying...poor Tanzania, what have you done to deserve this!
  7. N

    Raia Mwema Forbidden Edition - Will it come out tomorrow?

    Ni kweli na mie nimepata habari hizi kutoka an impeccable source kwamba we are likely to mis RAIA MWEMA today. Saddest news ni jinsi mafisadi walivyojipanga kuimaliza nchii hii tukufu kwa interest zao binafsi tu. Naanza kupata wasi wasi juu ya future ya nchi hii kwa kweli. tutajuta sana kuchagua...
  8. N

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    That's my worry jamani! Kwa mazingira aliyomo PINDA kwa kweli anatakiwa kuwa 'kichaa' kidogo ili kuweza kufanya maamuzi magumu. Lasivyo, atabaki TOOTHLESS PM kwa mujibu wa MAANE
  9. N

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Mizengo Kayanda Pinda ametangazwa hivi punde bungeni kuwa ndie pendekezo la JK. Saizi wabunge wanahesabiwa kujua idadi yao kisha watapiga kura kumthibitisha
  10. N

    CCM yamwangukia Bashe!

    Hayo ni matokeo ya mfumo mbovu wa utendaji kazi, na hii ni tip of the iceberg tu CCM na serikali yake inaonekana hakuna mawasiliano kabisa kila mtu anafanya lake matokeo yake wanaishia kupiana lawama tu. What else doTanzanians need kujua kwamba they need CHANGE. it is a pity...it is pathetic!
Back
Top Bottom