Wapendwa,
mimi ni Mjerumani. Najitahidi kujifunza Kiswahili.
Swali langu: Je, kuna neno katika lugha ya Kiswahili linalotumiwa kuonyesha kwamba wanaarusi wawili walifunga ndoa yao, kama neno la "couple" katika lugha ya Kingereza?
Kuna neno tofauti kwa ndoa ya Kikristo ya mtu mmoja na mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.