Mkuu,
Tengeneza juisi ya ukwaju unywe asubuhi mchana na jioni.
Kula sana mapapai yaliyoiva vizuri.
Kula ndizi mbivu.
Hizi ni dawa za asili, utapata choo laini
Mkuu,
Tengeneza juisi ya ukwaju unywe asubuhi mchana na jioni.
Kula sana mapapai yaliyoiva vizuri.
Kula ndizi mbivu.
Hizi ni dawa za asili, utapata choo laini
Nitamuachia mzazi aendelee kufaidi utamu wa mpenzi wangu. Halafu nitatafuta mpenzi mpya ambaye atafaa kuwa mume au mke halali wa ndoa. Nitaoa nitaishi naye na kuzaa watoto kumi.
Bwana Yesu atakurudishia mali zako, zote, atakupa mke mwaminifu na watoro wazuri kutoka kwenye viuno vyako. Amka, sahau yote yaliyopita, mwambie Mungu unaanza upya katika kila kitu. Omba Mungu akuongoze katika safari hii, utafanikiwa.
NB: Naomba kushiriki katika biashara biyo
Tumia pia hizo za asili ulizoelekezwa hapo juu. Ni kwa faida yako.
1. Kula papai lililoiva. Kula matunda sio lazima uambiwe na daktari.
2. Tengeneza wewe mwenyewe juisi ya ukwaju, unywe. Hii husaidia mambo mengi mwilini mwako mkuu.
Mpatie chai ya alkasusi. Ile ni dawa mujarabu kwa ishu za kiuno na mgongo.
Nilivyojifungua watoto mapacha mwaka huu nilikuwa naumwa Sana kiuno na mgongo. Nikashauriwa nitumie alkasusi. Ndugu wakaninunulia Tanga pakiti sita. Nikawa natumia kama chai yangu asubuhi mchana jioni. Nilipona kabisa...
Hata Mimi app yao inasimbia na imegoma moja kwa moja. Nimeenda Sana tawi lao la SUA na Kingalu bila ya suluhisho. Mwishowe naambiwa nitumie tu Kwa USSD
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.