Search results

  1. K

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Samirnasri, pole kwa umeme kuchukuliwa..ila nafikiri ilikuwa ishu ya transmission...watakuwa walikuwa wanakata ili watazamaji tusione...walianza kukata Star, then Mlimani...ila Baba lao TBC hawakukata.....mwisho, Wenje katolewa nje na baadhi wabunge wengine (watakuwa wa chadema nafikiri)...
  2. K

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Jazba ilipanda kama ambavyo inaweza kumpanda binadamu yeyote mwenye utashi. Mwenyekiti alikosa busara ya namna ya kuhandle ishu nzima hata kama Tundu Lissu alikubali, kumbuka awali alinyimwa kumalizia kuongea ambapo alitaka kutoa ushahidi pale pale bungeni.
  3. K

    Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

    Kifua kipana na kwenda mbio ndefu? Nope...haiconnect...mbio ndefu ni ishu nyingine kabisa...labda hayo mengine uloelezea...!!!
  4. K

    Jimboni kwa Maige: wananchi waandamana

    Miezi sita unaijua wewe au wanaijua wao? Unajua huyo amekuwa Mbunge wao tangu lini au unawa hukumu pasipo na ufahamu?
  5. K

    Nahitaji mume 33-40 age

    Amesema hana mtoto........
  6. K

    Nahitaji mume 33-40 age

    Kila la Kheri mushijack.,......naamini kabisa uko serious.....utafanikiwa..
  7. K

    Mjikumbushe Mzumbe High School

    Kweli mdau umetukumbusha mbali....mi nilikuwepo pale miaka ya 1995. Nakumbuka wengi wa hao waalimu...enzi zetu Headmaster alikuwa Mr Msuka...as a matter of fact..hiyo ilikuwa statement yake ya kufungulia speech parade. Kuna mwalimu mmoja tulikuwa tunamwita Chuck Norris.....nimesahau jina lake...
Back
Top Bottom